Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Mama can do it either! Nauona utenguzi wake wa kwanza kwa ngazi hii...Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Shughuli huvunjwa kwa shughuli atii!Still surprised!shughuli ya wazanzibar inavuruga Starehe ya watanganyika!
Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Mama yuko anagawa benzi hukoAsilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Huenda sio amri ya mama ila ni mtu fulani akitafuta kujipendekeza.Still surprised!shughuli ya wazanzibar inavuruga Starehe ya watanganyika!
Huyu mama mzanzibar hajui umuhimu wa hii mechi huku bara,kweli shughuli ya kitabu chao kilete hii taaruki!? Tumesafiri umbali mrefu leo mnatuambia nini damn you allStill surprised!shughuli ya wazanzibar inavuruga Starehe ya watanganyika!
Ndiyo Ukweli Wenyewe"Angekuwa"
Vipi kama kamtuma yeye ...wewe kwa akili yako ya kawaida unadhani Waziri anapata wapi nguvu ya kusogeza mechi mbele...Na baadooo nchi imeshachukuliwa na mdebwedo ...watu wa Pwani...mbona tutanyooka mwaka huu...Kwani hiyo mechi haiwezi kusogezwa mbele shehe ahaa..Mimi ni Rais MwanamkeAsilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Awamu ya pili = awamu ya sitaMama yuko anagawa benzi huko
πππ
Atakumbukwa na kina sabaya"MTANIKUMBUKA"
Yeye mwenyewe alikuwa Ni mpuuzi wa kwanzaa.Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi