Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague watu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo. Ona sasa jinsi soka letu lilivyodhalilika,Hii haivumiliki hata kidogo!