...mmm, nimeanza na wasiwasi na haya unayoyasema mkuu!Mama can do it either! Nauona utenguzi wake wa kwanza kwa ngazi hii...
Shida pale ni Abbas anakiburi na inamfanya Innocent kushindwa kufanya kazi yakeAsilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Nilichokuwa nampenda mzee Magu ukizingua tu hapo hapo anakutumbua,hakuna kusubiri...mmm, nimeanza na wasiwasi na haya unayoyasema mkuu!
Naona mama bado ana huruma za mama..
Yule Uteuzi wake aliyemuambia Mwananchi hadharani kwamba atulize matako, so mpaka Leo anaendelea kula nchi na mama bado anamwachia tu bila kumpa adhabu yoyote!
Hats hili litapita kimya kimya tu...
Wala, Bashu na mwendazake wana historia usidhan alimpa huo uwaziri bahati mbaya. Wizara hiyo alikuwa anaitumia kuwapa watu asiyiwakubali kama nape au anaoona hawana uwezo lakn anawapenda. Bashu wizara ya viwanda ilimshnda akaona kumtosa hawez maana wanajuana toka enz akamweka hapo.Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Nilichokuwa nampenda mzee Magu ukizingua tu hapo hapo anakutumbua,hakuna kusubiri
Aombe msamaha au ajiuzuluAsilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Na muda wao...Watu wameahirisha shughuli zao na hakuna walichopata zaidi ya hasara.Watu wametapeliwa hela zao
Well saidKuna mtu ameshauri Serikali vibaya kimazoea!,bila kujali maslahi ya wapenda soka.
Raia wanapaswa kuwa huru kwenda watakapo,kusikiliza watakacho,kuona watakacho ili mradi hawavunji sheria.
Serikali imezoea kupora uhuru wa raia kuamua wakitakacho,sasa leo maelekezo ya Serikali kwenda chama cha mpira imeleta madhara(Mechi imeahirishwa huku washabiki wakipata hasara ya fedha waliotoa baada ya mechi kuvunjika).
Watendaji,wamezoea kutoa ushauri wa kujipendekeza bila kufanya tathimini yenye kujali maslahi ya wengi.
BORA RAIS AFANYE MABADILIKO ZAIDI KWA WATENDAJI,KUNA MAMBO WANAYOYAFANYA HAYAENDANI NA MTAZAMO WA SERIKALI YA AWAMU YA 6.
Hivi kujiuzlu ni lazima uwe umeharibu wewe?.Yan ww bhna unamlauma bashungwa wkt na yeye kapewa maelkezo kutoka juu,itoshe kusema Tanzania ni nchi ya hovyo,ccm na serkal yake wnaharb sana had wanaboa
Hao wadudu wanakusubiri kwa hamu, au unajifanya hujui?yuko futi 15 chini ya 'aridhi' wadudu wanamtafuna
KabisaAsilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Upende usipende, atakumbukwa tu, haya madudu yasingetokea asilani.Atakumbukwa na kina sabaya
Kabisa, kuwajibika sio lazima uwe wewe ndo mwenye makosa. Jambo la ovyo na aibu likitokea ndani ya wizara au kitendo chako ili kurudisha imani ya watu lazima mwenye mamlaka awajibike.Hivi kujiuzlu ni lazima uwe umeharibu wewe?.
Hata kupokea na kutekeleza maagizo yanayoharibu kama Mtu una busara na umekomaa unawajibika tu.