Angekuwa ndio Magufuli kapokea report ya CAG leo, naamini angefanya maamuzi haya ya kishujaa...

Hebu elewa Jiwe wenu ameshakufa , hivi huwa hamuelewi ?
 
Magufuli alikuwa anashirikiana na deus kakoko kuiba pale bandarini asingeweza kumfukuza kamwe. Kama huamini jiulize baada ya tuhuma za wizi na PM kuwafukuza maafisa wa chini kwanini Magufuli hakuchukua hatua kumfukuza kakoko?
sasa Magufuli aibe billioni 2 ili afanyie kazi gani? Magufuli hawezi kuiba pesa acha kuidanganya dunia haiwezi kukuelewa, tena ukitoka hata ukaenda pale ubongo ukamsema vibaya Magufuli utapigwa mawe.
 

MKuchika huyu tokea mwakaa 60 yupo serekalini analipi jipya?
 
hayo ni maamuzi ya kidikiteta acha kukariri zama zimebadilika mzee
 
Umesahau CAG angefungasha virago kwa kusema ATCL imepata hasara
 
Papara za miaka tano na ushee, mbona mambo yale yale yanajirudia?
 
Pumbafu ashindwe ķuvunja akiwa hai unataka avunje akiwa Marehemu?Mizombie yake mnapata tabu sana,,mama anafuata sheria
 
Wakati Mwingine sheria ugeuka kichaka cha kulinda wezi. Ili uwe kiongozi Imara ni lazima Uchukue hatua hatakama sheria zinamlinda Mtuhumiwa.

Kama Ndugu yetu Magufuli Angefata sheria kudhibiti mambo Ambayo yalitengeneza Wizi na Ufisadi Leo Nchi yetu isingefikia Mafanikio tuliyonayo.

Hivyo namshauri Mama yetu Samia Hasikubali Kushauriwa na wale wanaotaka kujidai Kumshauri Azingatie sheria. Afanye Maamuzi kwa kuzingatia Maslai Mapana ya Nchi Yetu.
 
Utawala wa Magufuli utaongoza kwa ufisidi na kuitafuna nchi hii
 
Iyo ripoti wala usingeisikia ungesikia tu ATCL inaleta gawio
 
Kabla hujafika mbali! Believe or not ya kua Magu asingepewa report hiyo ya jana, Angepewa FAKE ya kusifu na kuunga juhudi...
 
ucwe nguchiro ww,unadhan sheria zmewekwa kwa kubahatisha???huyo mwendazake mnaempamba na sifa ambazo wala hakuwa nazo acheni kukariri
 
Wanajeshi na Biashara wapi na wapi?
 
Yaan jiwe aliwashka kuanzia akili,mpaka miku nd u yenu pumba fu.

Yaan mliamin yupo safi kila kitu,nawaombeni huo mharisho mliokuwa mmelishwa muutapke
 

Polepole akikokotoa mahesabu kuonyesha zilipo sh. Trilioni 1.5 zilizosemwa na CAG Assad


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…