Huyu angel ni limbukeni flani na mshamba hakumpenda alitaka amtumie kumpeleka huko marekani. Ila mwanaume ana moyo na huyo aliyemuoa yatamshinda mtu amezaa na wanaume watatu tofauti yeye ndio shidaMjinga Sana kamgeuka jamaa USA. Anadai kuwa anamnyanyasa kijinsia. Ila Angel Benard kamtesa Sana jamaa. Huyo Angel alikuwa anashoot video Ngorongoro ilibidi jamaa awahi kwenye shooting ili asisalitiwe. Shida akafika jioni akakuta wahuni wameshafanya ya kwao.
Naskia hiz mambo Rose yuko vizur toka yuko secondari hukoo msalato(kama sijakosea) alikua ni mtu wa dini sana mambo ya ukwata alikua wale madada fire kwenye hiz habar.. sishangai kuwa yeye ndio mwenye hii biasharaIle huduma ni Rose na ana uchungu nayo haswa huyo nick shaboka hamna kitu pale mkewe ni mpambanaji haswa. Nick amshukuru Rose na aaChe kumsumbua
Halafu hivi kwa nini hajatokea kwenye kipindi cha Sunday worship cha Wasafi TV?Wakati siku anazindua Albamu yake alitajwa yeye Mc Madevu na Nabii Malisa.Ninaona kawa replaced na Suzette Mackenzie.Christina si ndio alimkimbia mume akaenda Kwa apostle, shusho anajua kuimba ila uhuni anao
Sakafu ndo alimpeleka USA,halafu kafika huko kapata chaka lingine ?Huyu binti sitasikiliza tena nyimbo zake.Na huko marekani alipelekwa na mwanaume aliyemuoa na u single Maza wake, kufika USA akampata mwingine
Amon nae kaoa juzi juzi ,Amon yupo Tanzania .Na Amon yupo USA?
Yes kafika kamgeuka huyu angel yuko radhi kufanya lolote kufikia malengo yake.Sakafu ndo alimpeleka USA,halafu kafika huko kapata chaka lingine ?Huyu binti sitasikiliza tena nyimbo zake.
Sijafahamu hyo kitu sijafatiliaHalafu hivi kwa nini hajatokea kwenye kipindi cha Sunday worship cha Wasafi TV?Wakati siku anazindua Albamu yake alitajwa yeye Mc Madevu na Nabii Malisa.Ninaona kawa replaced na Suzette Mackenzie.
Nilijua ameenda kwa juhudi zake za gospel, umenikumbusha kuna lecture alimpeleka mke wake akasome UK mda kidigo mke karudia watoto wao wawili kaolewa na mzungu, yule lecture anatibu presha.Na huko marekani alipelekwa na mwanaume aliyemuoa na u single Maza wake, kufika USA akampata mwingine
Yes Rose hyo huduma kaianza tangu secondary akiwa Binti mdogo sio sawa na Hawa watumishi wa sikuhizi njaa ikiwapiga wanazifanya watabiri pia Rose ni msomi wa chuo kikuu na aliacha kazi yake aka focus na hudumaNaskia hiz mambo Rose yuko vizur toka yuko secondari hukoo msalato(kama sijakosea) alikua ni mtu wa dini sana mambo ya ukwata alikua wale madada fire kwenye hiz habar.. sishangai kuwa yeye ndio mwenye hii biashara
Mume ndio alimuumganisha huko maana ni producer kufika kamuona hafai no future at all. Hii tabia ya kuwapeleka mbele wanawake haifai Kuna rafiki yangu alipeleka mke Canada kufika kule kapata mzungu akagoma kumrudia mume na watotoNilijua ameenda kwa juhudi zake za gospel, umenikumbusha kuna lecture alimpeleka mke wake akasome UK mda kidigo mke karudia watoto wao wawili kaolewa na mzungu, yule lecture anatibu presha.
Kuna ndg yangu alikataa mke wake asiende kusoma licha ya kupata scholarship naelewa kwann.
Unaongea kama Mkenya sasa mbona au ndio ile watu wanasema kutengeneza swaga?
Itakuwa kapiga maombi kawageuzia msala 😄Uzi umekuwa wa nick na rose shaboka badala ya angel benard
Ndoa za mabandani hizo hakuna ndoa humo,Masanja afungishe ndoa uiite ndoa?au hao kina kuhani sijui mwamposa?Wakristo hatuna ndoa mbili,
Si tumesha kubaliana kuwa uimbaji injili ni kipaji tu kama vipaji vingine sio tabia 😀Jamani,Mungu amsaidie aishinde hii dhambi,maana mtu anaimba nyimbo za injili halafu matendo yake ndo hayo.
"Dada Rose", ndivyo tulivyokuwa tunamuita hadi waliompita umri walimuita hivyo, kwasababu ya jinsi alivyokuwa anajiweka. Mstaarabu, anampenda Yesu, kichwa balaa maana alikuwa anakimbiza darasani, mshauri mzuri, boonge la muimbaji, halafu sasa ni msafiiiiii anajipenda hadi sio poa.Rose sio mkubwa kihivyo. Chuo amemaliza 2010; so possibly yupo kwenye 35-37
Hapana, 40 Rose hajafika.Yupo kwenye forty hivi
HahahahaWe unawajua wapendwa kwel wewe...
Wao na ngono ni dugu moya
Naamini hiloHana 40..
Hata 37 hana, hata Nick siyo mdogo ila ana sura ya kitoto
She has been carrying herself with so much accolades. I adore her kwa kweli"Dada Rose", ndivyo tulivyokuwa tunamuita hadi waliompita umri walimuita hivyo, kwasababu ya jinsi alivyokuwa anajiweka. Mstaarabu, anampenda Yesu, kichwa balaa maana alikuwa anakimbiza darasani, mshauri mzuri, boonge la muimbaji, halafu sana ni msafiiiiii anajipenda hadi sio poa.