Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Mjinga Sana kamgeuka jamaa USA. Anadai kuwa anamnyanyasa kijinsia. Ila Angel Benard kamtesa Sana jamaa. Huyo Angel alikuwa anashoot video Ngorongoro ilibidi jamaa awahi kwenye shooting ili asisalitiwe. Shida akafika jioni akakuta wahuni wameshafanya ya kwao.
Huyu angel ni limbukeni flani na mshamba hakumpenda alitaka amtumie kumpeleka huko marekani. Ila mwanaume ana moyo na huyo aliyemuoa yatamshinda mtu amezaa na wanaume watatu tofauti yeye ndio shida
 
Ile huduma ni Rose na ana uchungu nayo haswa huyo nick shaboka hamna kitu pale mkewe ni mpambanaji haswa. Nick amshukuru Rose na aaChe kumsumbua
Naskia hiz mambo Rose yuko vizur toka yuko secondari hukoo msalato(kama sijakosea) alikua ni mtu wa dini sana mambo ya ukwata alikua wale madada fire kwenye hiz habar.. sishangai kuwa yeye ndio mwenye hii biashara
 
Na huko marekani alipelekwa na mwanaume aliyemuoa na u single Maza wake, kufika USA akampata mwingine
Nilijua ameenda kwa juhudi zake za gospel, umenikumbusha kuna lecture alimpeleka mke wake akasome UK mda kidigo mke karudia watoto wao wawili kaolewa na mzungu, yule lecture anatibu presha.
Kuna ndg yangu alikataa mke wake asiende kusoma licha ya kupata scholarship naelewa kwann.
 
Naskia hiz mambo Rose yuko vizur toka yuko secondari hukoo msalato(kama sijakosea) alikua ni mtu wa dini sana mambo ya ukwata alikua wale madada fire kwenye hiz habar.. sishangai kuwa yeye ndio mwenye hii biashara
Yes Rose hyo huduma kaianza tangu secondary akiwa Binti mdogo sio sawa na Hawa watumishi wa sikuhizi njaa ikiwapiga wanazifanya watabiri pia Rose ni msomi wa chuo kikuu na aliacha kazi yake aka focus na huduma
 
Nilijua ameenda kwa juhudi zake za gospel, umenikumbusha kuna lecture alimpeleka mke wake akasome UK mda kidigo mke karudia watoto wao wawili kaolewa na mzungu, yule lecture anatibu presha.
Kuna ndg yangu alikataa mke wake asiende kusoma licha ya kupata scholarship naelewa kwann.
Mume ndio alimuumganisha huko maana ni producer kufika kamuona hafai no future at all. Hii tabia ya kuwapeleka mbele wanawake haifai Kuna rafiki yangu alipeleka mke Canada kufika kule kapata mzungu akagoma kumrudia mume na watoto
 
Unaongea kama Mkenya sasa mbona au ndio ile watu wanasema kutengeneza swaga?

Hata sijui vile naandika kama inasomeka kama mtu wa Kenya au lah...hata hivyo kuna miaka nishapata kaa Nairobi kwa muda ingawa haukuwa mrefu kuharibu kiswahili changu...

Kiswahili cha Nairobi mtu akiandika zile maneno zao hapa, hakuna kitu utaweza ambulia, jamaa ni kama wana kiswahili chao hivi...
 
Wakristo hatuna ndoa mbili,
Ndoa za mabandani hizo hakuna ndoa humo,Masanja afungishe ndoa uiite ndoa?au hao kina kuhani sijui mwamposa?

Mimi nikisikia mtu anasema anafunga ndoa huko kwenye mabanda ya mabati na kwa wapiga kelele naona bora hata angeenda kufungia kwa mkuu wa mkoa au wilaya ndiyo atakuwa yuko serious na anachokifanya.
 
Rose sio mkubwa kihivyo. Chuo amemaliza 2010; so possibly yupo kwenye 35-37
"Dada Rose", ndivyo tulivyokuwa tunamuita hadi waliompita umri walimuita hivyo, kwasababu ya jinsi alivyokuwa anajiweka. Mstaarabu, anampenda Yesu, kichwa balaa maana alikuwa anakimbiza darasani, mshauri mzuri, boonge la muimbaji, halafu sasa ni msafiiiiii anajipenda hadi sio poa.
 
"Dada Rose", ndivyo tulivyokuwa tunamuita hadi waliompita umri walimuita hivyo, kwasababu ya jinsi alivyokuwa anajiweka. Mstaarabu, anampenda Yesu, kichwa balaa maana alikuwa anakimbiza darasani, mshauri mzuri, boonge la muimbaji, halafu sana ni msafiiiiii anajipenda hadi sio poa.
She has been carrying herself with so much accolades. I adore her kwa kweli

(Nilitaka nikuulizie hapo juu kwa Maki, nikawaza sijui unatumia ID gani sasa hivi, nikaishia kucheka tu)
 
Back
Top Bottom