Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel naye ni tapeli, ndoa ya kikiristo haina mbadala.. labda kama bwana sakafu ni marehemu
Bwana sakafu ni mpiga vinanda studio ila yule mwamba mpya ni Sergeant jeshini 🤣!

Kwa akili za hawa dada zetu siwezi kulaumu sana maana hakuna mtu atakomaa na S2keezy halafu amuache Venance Mabeyo mtu wa serikalini anaetembea na escort kibabe na pesa ya uhakika.
 
Kanaonekana katapeli ka maneno balaa, na ile sauti ya "salama rohoni mwanguuu" ni balaa zito kumbe kajitu hakana mbele wala nyuma aisee 🤣🤣🤣
 
Kwaiyo umeamua utumie huo mfano wa chini 😆
 
Huyu angel ni limbukeni flani na mshamba hakumpenda alitaka amtumie kumpeleka huko marekani. Ila mwanaume ana moyo na huyo aliyemuoa yatamshinda mtu amezaa na wanaume watatu tofauti yeye ndio shida
Huyo Sergeant zinaenda kuliwa hela zake tu 🤣🤣🤣 mwanamke mnafiki hafai kulumangia hata kwa chumvi.

Atajengeshwa nyumba bongo mwisho wa siku atamkamata cheating biashara inakuwa imeisha wanagawana pasu kwa pasu. Kama sheria inavyosema. Mwanamke njaa njaa sio wa kumpa line kabisa kwenye maisha.
 
Mume ndio alimuumganisha huko maana ni producer kufika kamuona hafai no future at all. Hii tabia ya kuwapeleka mbele wanawake haifai Kuna rafiki yangu alipeleka mke Canada kufika kule kapata mzungu akagoma kumrudia mume na watoto
Hahahah mimi huyo? 🤣 Hakuna mahali ataenda Tz ndio her destiny yani kutoboa atoboe nini? Yeye ni wa hapa hapa tu. Huko labda niende mimi kwanza.

Ila nikuulize tu kati ya S2keezy na Venance Mabeyo wewe utamchagua nani!? 🤣🤣🤣
 
Samahani hivi anaeongelewa hapa ni nani ni rose mhando ama🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…