Angel Benard aolewa mara ya pili

Niliwahi kusikia historia yake anasimulia mapito yake kwamba baada ya kupata ujauzito kanisa lilimtenga na akasema kabisa mimba alipewa na mtumishi mwenzake sijui mwanakwaya kumbe alikuwa Nick, kwa hiyo baada ya kutengwa na masimango mengi akawa amesusa kanisani akahamia nyimbo za kidunia, huko nako akarubuniwa akapata mtoto mwingine baadae akaamua kumrudia Mungu ndio akakutana na huyo producer akaolewa akaja kupata wafadhili wa mziki wake hata huko marekani alipelekwa na hao wafadhili na baadae alipata changamoto za afya akiwa mjamzito sijui ikawajekawaje nimesahau ila ilibidi abaki huko Marekani kwa muda mrefu kutokana na hizo changamoto za afya nadhani ameamua kubaki moja kwa moja na mtoto alijifungulia huko huko
 
Huyu angel ni limbukeni flani na mshamba hakumpenda alitaka amtumie kumpeleka huko marekani. Ila mwanaume ana moyo na huyo aliyemuoa yatamshinda mtu amezaa na wanaume watatu tofauti yeye ndio shida
Ameniboa Sana. Nadhani hata huyu mme mpya ameangalia fursa tu kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…