Angel Benard aolewa mara ya pili

Sasa wahuni kama nyie mkiachiwa Gap kidogo si lazma mdokoe asali ya bibi Rose. [emoji3]
[emoji28][emoji28] Kwa kweli Kuna wadada wao Huwa wanajifanya wataka maombi kumbe raha Yao kulalwa na watumishi tu basi. Ila Kwa mtindo huu mbinguni watakaoenda ni Wachache sana
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]eti mabeyo vs skeezy
 
Hafu huyo angel ni single mom of three atakuwa witch na anaokota wakumuoa nadhani kaumaarufu wanaume wanafata. Yani Angel Kwa ndoa wanashindana na dida shaibu
 
Muda..almost 3 yrs
Unajua waliwahi tengana miaka 5 wanaishi nyumba moja ila vyumba tofauti. Mimi nilikuwa ninasali nao Tabata na Shusho mme ndo alikuwa mchungaji kiongozi pale.

Walivyorudiana hadi kanisani ilitangazwa,ila walirudiana wakaishi/kulala chumba kimoja kama miaka 3 tu nadhani, ndio wamekuja tengana tena safari hii Tina Shusho kahama kabisa nyumba.

Ndo hii almost miaka 3 wanaishi nyumba tofauti, kila mmoja ana kanisa lake. Kumbuka Mchungaji Shusho mwanaume alihama Tabata kanisani ili kumfuata Tina mkewe kwenye kanisa lake Tina pale Manzese.

Ndo huko wamekwenda kutofautiana Mme akaondoka kuanzisha kanisa lake tena. Yaani maisha yao hawa unaweza andika script, movie ikauza sana. Jamani Tumjue Yesu kiroho na si kuwafuata hawa binadamu maana wengine hata dhambi wanatuzidi.
 
Namlaumu tu angel Mimi ningekimbilia Kwa mabeyo sio kwamba nampenda sana Wala nivile naangalia future ya watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…