Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Sasa wahuni kama nyie mkiachiwa Gap kidogo si lazma mdokoe asali ya bibi Rose. [emoji3]
[emoji28][emoji28] Kwa kweli Kuna wadada wao Huwa wanajifanya wataka maombi kumbe raha Yao kulalwa na watumishi tu basi. Ila Kwa mtindo huu mbinguni watakaoenda ni Wachache sana
 
Bwana sakafu ni mpiga vinanda studio ila yule mwamba mpya ni Sergeant jeshini [emoji1787]!

Kwa akili za hawa dada zetu siwezi kulaumu sana maana hakuna mtu atakomaa na S2keezy halafu amuache Venance Mabeyo mtu wa serikalini anaetembea na escort kibabe na pesa ya uhakika.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]eti mabeyo vs skeezy
 
Photo 1.jpg
photo 2.jpg
photo 3.jpg
photo 4.jpg
photo 5.jpg
Phot 6.jpg
 
Huyo Sergeant zinaenda kuliwa hela zake tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanamke mnafiki hafai kulumangia hata kwa chumvi.

Atajengeshwa nyumba bongo mwisho wa siku atamkamata cheating biashara inakuwa imeisha wanagawana pasu kwa pasu. Kama sheria inavyosema. Mwanamke njaa njaa sio wa kumpa line kabisa kwenye maisha.
Hafu huyo angel ni single mom of three atakuwa witch na anaokota wakumuoa nadhani kaumaarufu wanaume wanafata. Yani Angel Kwa ndoa wanashindana na dida shaibu
 
Muda..almost 3 yrs
Unajua waliwahi tengana miaka 5 wanaishi nyumba moja ila vyumba tofauti. Mimi nilikuwa ninasali nao Tabata na Shusho mme ndo alikuwa mchungaji kiongozi pale.

Walivyorudiana hadi kanisani ilitangazwa,ila walirudiana wakaishi/kulala chumba kimoja kama miaka 3 tu nadhani, ndio wamekuja tengana tena safari hii Tina Shusho kahama kabisa nyumba.

Ndo hii almost miaka 3 wanaishi nyumba tofauti, kila mmoja ana kanisa lake. Kumbuka Mchungaji Shusho mwanaume alihama Tabata kanisani ili kumfuata Tina mkewe kwenye kanisa lake Tina pale Manzese.

Ndo huko wamekwenda kutofautiana Mme akaondoka kuanzisha kanisa lake tena. Yaani maisha yao hawa unaweza andika script, movie ikauza sana. Jamani Tumjue Yesu kiroho na si kuwafuata hawa binadamu maana wengine hata dhambi wanatuzidi.
 
Hahahah mimi huyo? [emoji1787] Hakuna mahali ataenda Tz ndio her destiny yani kutoboa atoboe nini? Yeye ni wa hapa hapa tu. Huko labda niende mimi kwanza.

Ila nikuulize tu kati ya S2keezy na Venance Mabeyo wewe utamchagua nani!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namlaumu tu angel Mimi ningekimbilia Kwa mabeyo sio kwamba nampenda sana Wala nivile naangalia future ya watoto
 
Back
Top Bottom