Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Mmmh hii sikuwahi kuijuaSijui huko ndani,ila kwa kanisani mme alikuwa anaonekana ni Mme bora,na Tina alikuwa anaonekana kabisa anadharau mmewe. Sasa sijui wakiwa wawili ilikuwa inakuwaje. Pia kumbuka mme aliacha uaskofu pale Tabata akamfuata mkewe ndo wakaenda kuvurugana tena.
Nick ALIGOMBANIWA? Na wanawake???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa before hajaoa kwenye hizi harakati zao za makongomano ya injili huko ma vyuoni. Hata Rose kabla ya kuolewa naye Nick walikuwa wanamgombania wanawake I think rose ndio akamu win
Nilichomaanisha mkuu, Yesu aingilie kanisa lake maana linachafuliwa na watumishi feki, for how long will they continue using the JESUS NAME for their behind evil and wicked motives?! Awapige viboko tu kwa kuwafichua ili watu wafahamu Yale yaliyofichwa. By the way muda upo nao waja na umeshakaribia....Kristo hahusiki na hayo makanisa ya kihuni labda ungesema shetani aseme na hao watu wake.
Mungu kawaita wapi sasa?,Wao ndo wamekamata fursa.Eti Mungu kawaita hizo banc account number wanaweka za nini?Mpesa sijui Airtel money.Mungu angewaita kweli wangesubiri waumini wajitolee wenyewe kuwapa hela na si kila siku kusisitiza tuma sadaka yako Mpesa .......Hapana mmy. Hiyo haiwaondolei hadhi ya kuwa watumishi, unafikiri Mungu aliyewaita hakuona haya?
Ndo ujue sasa.Mmmh hii sikuwahi kuijua
Ni mkarimu hasa. Dada wa watu mzuri na mkarimu. Wengine wazuri na si wakarimuYah...Rose mzuri sana sana..Nimewahi kumuona pia..
Na ni mkarimu mno...
Pastor anakulaje unga acha uongo weweRose unga ndo ulimharibu
Jifunze naww kupiga pamba siyo unavaa malonya ya elfu 30 30Ila Rose mzuri mnoo naamini mapicha ya mitandao hayamtendei haki...age imeenda lkn yuko fit very soft na anajua kupiga pamba
Halohalo ya tina shusho..namfatiliaga sana youtube ....hatak shidaaaUnajua waliwahi tengana miaka 5 wanaishi nyumba moja ila vyumba tofauti.Mimi nilikuwa ninasali nao Tabata na Shusho mme ndo alikuwa mchungaji kiongozi pale.Walivyorudiana hadi kanisani ilitangazwa,ila walirudiana wakaishi/kulala chumba kimoja kama miaka 3 tu nadhani,ndo wamekuja tengana tena safari hii Tina Shusho kahama kabisa nyumba. Ndo hii almost miaka 3 wanaishi nyumba tofauti,kila mmoja ana kanisa lake.Kumbuka Mchungaji Shusho mwanaume alihama Tabata kanisani ili kumfuata Tina mkewe kwenye kanisa lake Tina pale Manzese. Ndo huko wamekwenda kutofautiana Mme akaondoka kuanzisha kanisa lake tena. Yaani maisha yao hawa unaweza andika script, movie ikauza sana.Jamani Tumjue Yesu kiroho na si kuwafuata hawa binadamu maana wengine hata dhambi wanatuzidi.
HahahahahahNamlaumu tu angel Mimi ningekimbilia Kwa mabeyo sio kwamba nampenda sana Wala nivile naangalia future ya watoto
Mume wake namuona mtu mzima sana ...mayb hatuwezi juaLicha ya mapungufu ya shusho ila hata huyo mume ana shida mno
Kwani humo mnashindaga wenyewe,,, na sie tunatoa ushuhuda kwa wapendwa tunaopoaAcha uongo
Ana mahubiri mazuri mno mno....mimi sipend mahubiri ya kutishana tishana Yesu anakuja blabla za kutishana.huyu anahubiri reality...kama una msongo wa mawazo unakoma na kuwa mzimaHuwa ninaona tu clip zake fupi zile mtu anakufowadia WhatsApp. Ila huwa sifuatilii kabisa mahubiri yake.
Duuh kumbe nimezeeka 😭😭😭 rose tumesoma shule moja A levelIla Rose mzuri mnoo naamini mapicha ya mitandao hayamtendei haki...age imeenda lkn yuko fit very soft na anajua kupiga pamba
Malimbuko na zakaSadaka zipi hizo ?
Uko sahihiRose sio mkubwa kihivyo. Chuo amemaliza 2010; so possibly yupo kwenye 35-37
Hahahahaha dahDuuh kumbe nimezeeka [emoji24][emoji24][emoji24] rose tumesoma shule moja A level
Binafsi siku hizi mimi ninasoma sana biblia,nilishaachana na mahubiri kabisa. Huwa ninasikiliza mahubiri kanisani ninakosali.Ila hawa wengine wenye mahubiri huyo YouTube ambao wanaonyesha account no,mpesa, tige pesa, airtel money huwa siangalii kabisa yaaani.Mimi mwenyewe nimeamua kuzungumza na Mungu wangu kwa Maombi na kusoma Biblia.Na mambo yangu yanafanikiwa kabisa yaani.Ana mahubiri mazuri mno mno....mimi sipend mahubiri ya kutishana tishana Yesu anakuja blabla za kutishana.huyu anahubiri reality...kama una msongo wa mawazo unakoma na kuwa mzima
Ndio hivyo best. Rose ni class mate yule. Wenyewe tumemzoea kwa jina la Rose Mushi.
Na ndivyo inavyotakiwa kuongea na Mungu wako direct..sio kumpa shida mchungaji sijui nabii...thats niceBinafsi siku hizi mimi ninasoma sana biblia,nilishaachana na mahubiri kabisa. Huwa ninasikiliza mahubiri kanisani ninakosali.Ila hawa wengine wenye mahubiri huyo YouTube ambao wanaonyesha account no,mpesa, tige pesa, airtel money huwa siangalii kabisa yaaani.Mimi mwenyewe nimeamua kuzungumza na Mungu wangu kwa Maombi na kusoma Biblia.Na mambo yangu yanafanikiwa kabisa yaani.