Unajua waliwahi tengana miaka 5 wanaishi nyumba moja ila vyumba tofauti.Mimi nilikuwa ninasali nao Tabata na Shusho mme ndo alikuwa mchungaji kiongozi pale.Walivyorudiana hadi kanisani ilitangazwa,ila walirudiana wakaishi/kulala chumba kimoja kama miaka 3 tu nadhani,ndo wamekuja tengana tena safari hii Tina Shusho kahama kabisa nyumba. Ndo hii almost miaka 3 wanaishi nyumba tofauti,kila mmoja ana kanisa lake.Kumbuka Mchungaji Shusho mwanaume alihama Tabata kanisani ili kumfuata Tina mkewe kwenye kanisa lake Tina pale Manzese. Ndo huko wamekwenda kutofautiana Mme akaondoka kuanzisha kanisa lake tena. Yaani maisha yao hawa unaweza andika script, movie ikauza sana.Jamani Tumjue Yesu kiroho na si kuwafuata hawa binadamu maana wengine hata dhambi wanatuzidi.