Angel Benard aolewa mara ya pili

Ndugu usiingie kwenye mkumbo wa kuwasema watumishi wa Mungu, humu kila mtu anasema lake bila kuwa na ushahidi walio wengi wanafuata mkumbo,tukumbuke ukimsema mpakwa mafuta wa Mungu ni hatia,labda kama hamtumikii Mungu alie hai.
Ndo wanavyowateka akili et Do not touch the Annointed. HAAHAAHH na wanawateka kweli kiakili. Omba Mungu akupe macho ya rohoni. Akupe Hekima uweze kutambua magugu na ngano.
 
Hivi biblia haijaruhusu kuachana kweli?
Ila naona Bora kuachana kuliko kufika pabaya kisa ndoa
 
Upo nyuma ya keyboard unawasema wenzako kana kwamba wewe ni mtakatifu,haya unayoyaandika ulikuwepo kushuhudia?
 
Ndugu usiingie kwenye mkumbo wa kuwasema watumishi wa Mungu, humu kila mtu anasema lake bila kuwa na ushahidi walio wengi wanafuata mkumbo,tukumbuke ukimsema mpakwa mafuta wa Mungu ni hatia,labda kama hamtumikii Mungu alie hai.
Acha kutisha watu nao ni binadamu kama sisi na wanamaoungufu ya kibinadamu ndio maana hata umalaya wanaufanya.
 
Mtumishi nipitie twende tukasali pamoja.
 
Never ever on earth huyu kamla shoga angu mmoja hivi...live afu eti Mimi aniombee am sorry
[emoji1][emoji1][emoji1]Endeleni kupigwa Pesa zenu zinatumiwa vzr sana TU na wadada WA mujini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha wivu... sasa ulitaka akukule wewe au? Ulitaka ale huto tumatako twako tudogo kama skonzi na hiyo mifupa au? Ndo Mungu kashamchagua hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…