Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Ndugu usiingie kwenye mkumbo wa kuwasema watumishi wa Mungu, humu kila mtu anasema lake bila kuwa na ushahidi walio wengi wanafuata mkumbo,tukumbuke ukimsema mpakwa mafuta wa Mungu ni hatia,labda kama hamtumikii Mungu alie hai.
Ndo wanavyowateka akili et Do not touch the Annointed. HAAHAAHH na wanawateka kweli kiakili. Omba Mungu akupe macho ya rohoni. Akupe Hekima uweze kutambua magugu na ngano.
 
TUsimhukumu kwa kigezo cha utumishi wake, what if mwenye shida alikua huyo mume? Ina maana alipaswa aendelee kuvumilia maumivu kwasababu yeye mlokole? Mlokole hana moyo? Hana hisia? Au walokole wamewekea some sort of bullet proof kwenye mioyo yao?

Why people are always negative?

As long as anaishi she deserves a husband kuliko kuwa mzinifu, acheni negative thinking au ndo nyie mkioa walokole mnawatesa mkijua talaka hakuna? Smh!
Hivi biblia haijaruhusu kuachana kweli?
Ila naona Bora kuachana kuliko kufika pabaya kisa ndoa
 
Hapana huyo mpaka akujengee labda umpe radius yako, maana buldoza ana honga ila huo mchepuko sura personal aliyekuwa anajiuza uturuki ndio kamjengea mjengo mzuri kuliko nyumba speaker Sasa huyo changu anajua Kila kitu including body to body massage na ana nyonya sehemu nyeti ya sodoma na gomora huyo ndio kajengewa Sasa mie sijazoea uhuni Wala
Upo nyuma ya keyboard unawasema wenzako kana kwamba wewe ni mtakatifu,haya unayoyaandika ulikuwepo kushuhudia?
 
Ndugu usiingie kwenye mkumbo wa kuwasema watumishi wa Mungu, humu kila mtu anasema lake bila kuwa na ushahidi walio wengi wanafuata mkumbo,tukumbuke ukimsema mpakwa mafuta wa Mungu ni hatia,labda kama hamtumikii Mungu alie hai.
Acha kutisha watu nao ni binadamu kama sisi na wanamaoungufu ya kibinadamu ndio maana hata umalaya wanaufanya.
 
Binafsi siku hizi mimi ninasoma sana biblia,nilishaachana na mahubiri kabisa. Huwa ninasikiliza mahubiri kanisani ninakosali.Ila hawa wengine wenye mahubiri huyo YouTube ambao wanaonyesha account no,mpesa, tige pesa, airtel money huwa siangalii kabisa yaaani.Mimi mwenyewe nimeamua kuzungumza na Mungu wangu kwa Maombi na kusoma Biblia.Na mambo yangu yanafanikiwa kabisa yaani.
Mtumishi nipitie twende tukasali pamoja.
 
Never ever on earth huyu kamla shoga angu mmoja hivi...live afu eti Mimi aniombee am sorry
[emoji1][emoji1][emoji1]Endeleni kupigwa Pesa zenu zinatumiwa vzr sana TU na wadada WA mujini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha wivu... sasa ulitaka akukule wewe au? Ulitaka ale huto tumatako twako tudogo kama skonzi na hiyo mifupa au? Ndo Mungu kashamchagua hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom