Angel Benard aolewa mara ya pili

Nadhani Christina umaarufu na kufuatwa na wanaume wenye fedha kulimpa kiburi na kumwona mumewe si kitu.
Sasa huyo mumewe kasharudi kanisani kwake au?
Ni kweli Christina alikuwaga mkimbizi kutoka Burundi
Mumewe ana kanisa jengine linaitwa "Restoration of hearts international church" liko segerea
 
Nimesoma naye A level alikuwa active Sana kwenye Mambo ya dini. Na alikuwa ameokoka. Nakumbuka walijiunda ka group ka wasichana (kipindi hicho bado wasichana) Kama wanne hivi walikuwa wanaimba haoo
Walijiita anointed singers!
Yes anointed singers, walikuwa wanaimba sana lakini pia lilikuwa ni kundi la marafiki. Na walikuwa na tabia njema sana wachaga wale.
 
Nimefurahi kukuona Wizo😍
Sasa ndoa alifungaje tena Kanisani hali ya kuwa ya mwanzo ilikuwa ya Kanisani pia?
Yupo mwingine anajiita Madam Martha sasahivi, naye aliachana na mumewe,
Yaani shetani amejua kucheza na ndoa za waumini jamani🥺
Hayo makanisa yao hamna kitu ,unafungua tu,
Tofauti na rc, kkkt,morovian,Anglican....
 
Hayo makanisa yao hamna kitu ,unafungua tu,
Tofauti na rc, kkkt,morovian,Anglican....
Yeah sure
Kuna vitu vingi sana ambavyo vipo kwenye madhehebu yetu, pentecostal churches hakuna.
Na mengi wanashindana kupigana vijembe kugombea waumini,wakati sisi madhehebu yetu ya CCT na Roman tushavuka kwenye hilo wenge.
 
Nadhani Christina umaarufu na kufuatwa na wanaume wenye fedha kulimpa kiburi na kumwona mumewe si kitu.
Sasa huyo mumewe kasharudi kanisani kwake au?
Ni kweli Christina alikuwaga mkimbizi kutoka Burundi
Eeeh🤣
Mkimbizi tena?

Kuna Clip yake ilitrend sana..
Alikuwa anasema kama mwanaume wako ni mlevi, mbaya ni huyo
Siyo wote
Kuna wanaume wazuri wapo..
Nikajuaga ndoa yake itakuwa hot sana kwa mahaba.

Kumbe ndo akaona ambwage mumewe🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…