Angel Benard aolewa mara ya pili

Makungwii wengi wa ndoa na washauri mahusiano ujue Yao yalishawashinda long time
 
Huyo ex mme wake unamjua?
Si aliona hawaendani akambwaga!

Sijui anamuona Mzee sana
 
Ndugu usiingie kwenye mkumbo wa kuwasema watumishi wa Mungu, humu kila mtu anasema lake bila kuwa na ushahidi walio wengi wanafuata mkumbo,tukumbuke ukimsema mpakwa mafuta wa Mungu ni hatia,labda kama hamtumikii Mungu alie h
Mtu kazaa na wanaume wanne tofauti, Bado unakuja hapa watu msimseme mpakwa mafuta wa bwana. Unajua maana ya kupakwa mafuta? Yani mpakwa mafuta wa bwana anafanya uzinifu kuliko mpagani. Tuache unafiki.
 
Mtu kazaa na wanaume wanne tofauti, Bado unakuja hapa watu msimseme mpakwa mafuta wa bwana. Unajua maana ya kupakwa mafuta? Yani mpakwa mafuta wa bwana anafanya uzinifu kuliko mpagani. Tuache unafiki.
Hata Mackenzie Kuna waliokuwa Wana mtetea na madhara yameonekana kuua watu. Hawa wanaogusa Imani za watu ni heri wajulikane tu madudu Yao ku set precedent
 
Ukweli upi? Angel kaolewa Mara ya pili, uongo upo wapi?. Ukishakuwa mtumishi wa Mungu acha dhambi Nani atakusema?. Ulizia mwakasege, batenzi, gamanywa, Awet etc Nani anawasem?.
Hata hao wanasemwa pia na wengine kama wewe unavyowasema hawa wa sasa.

Ila sio kila kibaya kinachosemwa ni ukweli (japo vya ukweli vipo) ila vingine ni fitna tu.
 
Nyie ndio mnauharibu ukristo. Mnajifanya watumishi kumbe wazinzi. Biblia inasema tutawatambua kwa matendo yao sio nyimbo zao. Sasa matendo Kama kuchepuka na uzinifu ndio hayo. Hayo ni magugu ndani ya kanisa Mungu anayafichua. Tuache unafiki.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]hafu huyo flora gwajiboy si ndio alitilia kitumbua Cha ndoa Yao mchanga. Hawa waimbaji watumishi Huwa ni Malaya kuliko raia wakawaida.
Kiukweli tukutane mbinguni wapendwa na tusome biblia wenyewe aisee
Ila Emma mbasha NAE muhuni muhuni yule mtoto was Vingunguti
Kampiga sana matukio madam flora,ujue mom flora anakuja kumsaliti alivumilia mengi mnoo yule dada
Mimi Kwa Flora naona Mbasha anastahiki kuachwa maana alikua Malaya halafu ule Wa waziwazi kuanzia kitaa mpk church

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hata hao wanasemwa pia na wengine kama wewe unavyowasema hawa wa sasa.

Ila sio kila kibaya kinachosemwa ni ukweli (japo vya ukweli vipo) ila vingine ni fitna tu.
Tukae kimya ujinga ukifanyika?. Mimi nitasema kweli daima maana huu unafiki ndio unaliharibu kanisa. Juzi Kuna msanii kafunga ndoa madhabahuni kkKT Mbezi beach ana mimba ya miezi minne, tulipoongea tukaambiwa tusimseme ni Maisha yake.

Yani tunaona halali kufunga ndoa madhabahuni ukiwa na mimba na watu wakae kimya. Tukiendelea na huu unafiki watu wataishia kwenye uislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…