Angel Benard aolewa mara ya pili

Nick hakuwa amempenda Rose , jamaa alikufa akaoza kwa Angel, Rose alipambana sana kumrudisha Nick kutoka kwa Angel yan walikuwa wapo kwa process za ndoa, shela ishaagizwa kabisa vikao vinamalizikia, Then boom, Nicki akabadilisha gia angani ,unaambwia bidada Rose alifunga na kuomba siku 40 pia mama wa Nicki hakumtaka Angel kwahyo hapo wakasaidizana na Rose kumtoa Angel kwa Nicki, mwisho vita ikamshinda Angel mwishoni mwishoni mwanaume akaingia mtini japo anampenda.
 
Huyu anaonekana mke mwema hana mambo ya 50/50, sijui jamaa wa kwanza alifeli wapi?
Hata mimi nashangaa, sijui uwa ana bahati mbaya gani kwenye mahusiano, nimjuavyo Angel ni mpole na very caring, beautiful and highly annointed, ni Moja ya watu walionifanya nivutiwe na maisha ya wokovu, katumika pia kuponya maisha ya kimahusiano ya wengi, si kitu shetani anapenda
 
Eeh ila watu mnakuwaga na information aiseee
 
Exactly.
 
Rose mwenyewe anasema haikuwa rahisi mahusiano Yao ila raha ya ndoa mwanaume akupende sio wewe u force na hyo ndoa rose ndio huibeba zaidi
 
Rose mwenyewe anasema haikuwa rahisi mahusiano Yao ila raha ya ndoa mwanaume akupende sio wewe u force na hyo ndoa rose ndio huibeba zaidi
 
Ila changamoto wanazokutana watumishi si za kitoto, pata picha lile shazi la Mwamposa, mule kuna kuna lundo la mabinti wakali yaani wazuri kila kila kitu sura mpaka maumbo, wanakuja pale wanatafuta waume then wanaomba session ya maombi binafsi na mtumishi, msifanye masihala........

Kuna kipindi na kumbuka bi mkubwa alikuwa kiongozi kanisani, walimpigaga marufuku binti mmoja kuja kumuona Padri jioni, kwani huyo binti mwenyewe siku hiyo ndio anakuja kumuona Padri alivyo vaa na alivyo umbika ,wakampiga marufuku kuja kumuona Padri midaa ya jioni na aina ile ya mavazi.

Sometimes tuna walaumu ila mitihani wanayo kutana nayo mizito na kumbuka Padri wa parokia yetu alibadilishwa parokia baada ya kuwa na mahusiano na mama wa kihaya,huyo mama ni ana matako halafu mwanakwaya.

Mimi ndio maana imani yangu siku hizi ipo kwenye kulisoma na kulijua neno la mimi binafsi,haya maswala ya imani yako kuijenga kupitia kwa watu au miujiza lazima utakuwa mtu wa kuhamahama na unaweza ukapotea tkk imani.

Kuhusiana na wanakwaya na waimba injili hawa ndio usisema kuna jamaa wawili na wafaham ni vitombi kishenzi. Halafu haya mambo sometimes sijui yanakuwaje unakuta kipindi upo single mademu hawashoboki na wewe sana sasa ingia kwenye ndoa ndio utawaona wanavyo jisogeza yaani ili mradi.......... wakuvuruge.
 
Huo ni upeo wako wa kuona mambo,acha kuhukumu watu hukumu ni juu ya Mungu.
Acha kulazimisha uovu kwa kichaka Cha hukumu. Unajua maana ya kuhukumu. Kuhukumu ni kutoa hitimisho nani aende mbinguni na nani aende motoni jehanamu. Hiyo nguvu anayo Mungu tu na mwanadamu hawezi. Kuanika maovu sio kuhukumu Bali kujaribu kuliweka kanisa sawa. Iwapo tutaruhusu dha
 
hawa mabinti wazuri na warembo huwa wahanga wa kufukuzwa makanisani mwao kutokana na kashfa za kimapenzi. Lakini wale wabaya wenye sura ngumu wasiojiremba huwa hawakutani na mikasa ya kutengwa au kufukuzwa kutokana na jinsi walivyo, hawavutii
Hahaaa wewe unanikumbusha nilikua naongea na washkaji kua sku zote tunawalaumu mabinti warembo kua hawajatulia ila sababu wanapata vishawishi vingi ,na wengine tunawasifia kua wametulia kumbe hawapati vishawashi pengine wangepata vushawishi maji ni mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…