Angel Benard aolewa mara ya pili

Hahaha, nimechekaa..utasikia yessss daddy Nicky yessss!...jamaani kazi wanayo mama wachungaji
 
Napiga picha utakuwa mtoto wa Nani
Au unanichora wewe [emoji23]
Mzee wangu mkubwa bado anafanya pale,licha ya kustaafu kitambo
No my dad got a higher government position na tukaondoka pale kabisa

Ila mimi napajua sababu babu na bibi they were still there so tulkua tunaenda kusalimia Isongole
 
Hivi Bina
Huyu dada kwani naye ana matatizo kwenye ndoa yake?

Clip yake moja niliona anasema bedroom siyo mahali pa maombi
Ni mahala pa kushughulikia,
Akasema yeye ni mchungaji kanisani,akiwa nyumbani ni mke,anashughulika bedroom.
Si Ndo wanasema Huko juu kua mwanaume wake macho juu,na dada mpk alikua anapigana na watu kisa mme
Ni jukumu lake pia kufundisha watu namna ya kuishi vzr ndoani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwakasege ni wa pekee binamu
Yaani yule baba siku nikiskia ana makando kando daahhhh
Yuko vzr mnoo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli
Kusikiliza mikwaruzo ile anayotumia nguvu zote kooni[emoji38]
Ukitoka hapo unaumwa kichwa.

Kama anasoma hapa abadilike aisee,,sauti ya kupayuka inaboa..
Aongee tu sauti yake ya kawaida ataeleweka .
Sauti inakoroma ka imekwaruzwa na kisude Cha coca-cola hata hainogi Wala nini
 
Nimekuelewa binamu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…