Powercef 5
Member
- Jan 8, 2016
- 40
- 48
Hahaha, nimechekaa..utasikia yessss daddy Nicky yessss!...jamaani kazi wanayo mama wachungajiMmh binamu kwani anateseka na ndoa yake? Naamini hata wao Wana ups and downs kama sisi tu; ila suala la kusema anateseka kwenye ndoa; nafikiri wengi wetu hapa hatuna uhakika nalo. Fact that alipambana hadi yeye akawa mshindi, haimaanishi anateseka sasa hivi. Sio Kila mtu anapata ndoa smoothly, especially kwenye ndoa ambazo zimebeba "purpose" kubwa kama Ile ya kina Rose. Sio rahisi utoke tu from nowhere na ukamlazimisha mtu akuoe; hadi anakubali kukuoa it means kuna sababu ameipata ya yeye kukuoa. As a matter of fact; as Christians hatuoani tu kwa sababu ya upendo ambao leo unaweza ukawepo na kesho ukapungua; tunaoa kwa sababu ya "kusudi" ambalo Mungu ameweka kati yetu.
Plus we learn to grow in love. Unaweza ukamuoa mtu kwa sanabu ana mimba yako tu, ila huko mbeleni ukaona daah kumbe huyu anafaa kuwa mke kweli, so ukakaa ukatulia kwelikweli. Na wapo wanaoana kwa upendo tu, ila ndani wanaishi kwa majuto
Kuhusu kumlinda mumewe; nafikiri ni wajibu wa kila mume/mke kumlinda mwenza wake physically na spiritually. Sisi tu ambao waume zetu hawajulikani; tunawalinda kwelikweli; sembuse kwa Shaboka mwenye influence yake na anakutana na wanawake wa Kila aina daily? Hivi mnawajua mabinti wa kilokole walivyojaa mitego na hizo "daddy this, daddy that"?