Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Nimekutana na hii mtandaoni; niki-calculate wanaelekea miaka 36
Inawezekana kwa sababu Nick Olevel amesoma akiwa amejitambua kabisa ilikuwa ukimcheki unajua jamaa sio dogo kabisa, ila ndio hivyo Tena. Nick a man of God tangu akiwa chini yangu, labda miaka hii baada ya kutakata noti aanze kula viporo hao akina Bernard.
 
Back
Top Bottom