mashuka collection
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 608
- 1,409
Ilikua kablaHuyu Nick wakati anazaa na Angel,tayari alikuwa na mkewe Rose ?Duh kama alikuwa tayari kaoa hawa the so called watumishi ni uzushi mtupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikua kablaHuyu Nick wakati anazaa na Angel,tayari alikuwa na mkewe Rose ?Duh kama alikuwa tayari kaoa hawa the so called watumishi ni uzushi mtupu.
Nimekaa nikawaza; huyo Rose ambaye ana issues za unga ni huyu tunayemuongelea au? Ndiyo nikamkumbuka Rose Muhando,,,🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana....
Mwenyewe nimejiuliza anamaainisha nini....
Wewe ndiyo umenifumbua sasa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekaa nikawaza; huyo Rose ambaye ana issues za unga ni huyu tunayemuongelea au? Ndiyo nikamkumbuka Rose Muhando,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akiolewa mara ya tatu hapo jua kuna tatizoHabari.
Msanii ANGEL BERNARD ameolewa kwa Mara ya pili.
Mara ya kwanza aliolewa na producer wa nyimbo za injili Godsave Sakafu.
Kulikoni wanamziki wa nyimbo za injili wa kike.
Huyu hapa
View attachment 2608977
View attachment 2608980
Inawezekana kwa sababu Nick Olevel amesoma akiwa amejitambua kabisa ilikuwa ukimcheki unajua jamaa sio dogo kabisa, ila ndio hivyo Tena. Nick a man of God tangu akiwa chini yangu, labda miaka hii baada ya kutakata noti aanze kula viporo hao akina Bernard.Nimekutana na hii mtandaoni; niki-calculate wanaelekea miaka 36
Kama aliwahi kuwa mwanamziki wa gospel basi kagegeda mademu wengi sana japo kwa Angel alipata watoto huenda pia anao watoto wasiojulikanaNimekutana na hii mtandaoni; niki-calculate wanaelekea miaka 36
Itategemea tu umekufa zimeishia ngapi! Hakuna kiwango maalum😂😂😂😂Kwani ndoa mwisho ngapi zisiipo work out!!?
Ooh possibly. Mungu azidi kumtumia Mtumishi wake.Inawezekana Kwa sababu Nick Olevel amesoma akiwa amejitambua kabisa ilikuwa ukimcheki unajua jamaa sio dogo kabisa,Ila ndio hivyo Tena.Nick a man of God tangu akiwa chini yangu,labda miaka hii baada ya kutakata noti aanze kula viporo hao akina Bernard.
Kama aliwahi kuwa mwanamziki wa gospel basi kagegeda mademu wengi sana japo kwa Angel alipata watoto huenda pia anao watoto wasiojulikana
Kwa hiyo yupo demu mwingine zaidi ya Rose Mushi aliyezalishwa na bishop?Kwa Angel ni mtoto mmoja tu
Kwa hiyo yupo demu mwingine zaidi ya Rose Mushi aliyezalishwa na bishop?
Kwa nini yanishinde wakati sadaka zetu zinatumiwa vibaya?Yatakushindaaaa🤣🤣🤣.
Amezaa na wanawake wawili kabla ya kuoa.
Mwache aolewe wasipoolewa mnaanza kuwananga, ohh madunga embe, ohh hawaolek🤔mtakie heri kwenye ndoa yake🙏ombea watu mema ili nawe ubarikiwe, usiwawazie watu mabaya wakati wote🙏it tells a lot about you, if you're a man🤔🤔👁️👀Mme wake wa kwanza yuko wapi
Umeonja wangapi?hakuna mademu walaini na micharuko Kama hao walokole yani ukitaka unajioigia halafu wanakuwaga na genye ukimuonja tuu shida nawanapenda raw so mimba nje