Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Ila Hawa wachungaji Hawa yaani wanajimaliza Mwenye sadaka mwenzao anawajengea waumini
Ukimsema utawaskia Wanamtetea eti na yeye ni binadamu majaribu kawaida tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chakushangaza wanatoa sadaka Hadi za kujimaliza au kununulia watumishi magari huku wao wataombewa wapate gari na hawapewi hela so I don't understand
 
Nakumbuka mchungaji alienifungisha ndoa alituasa sana kwenye ibada kuwa tuiache mizigo na vifurushi (kutoka nje ya ndoa) lakini baada ya muda alisimamishwa kazi kwa kugombana na mchungaji mwenzake kisa kstibu wa usharika kuhamishwa na mchungaji alikua anamla mpka kampa mimba.
Imagine mtu wa hivyo alafu anakusisitiza usizini acha dhambi kumbe yeye ndio namba moja.

Kwengine muinjilisti anawatoto watano lakini kazaa na katibu wa vijana wa usharika nq walivyo wangese ww ukifanya dhambi wanasema urudi kundini ila wao wakifanya hawarudi kundini mambo ya aibu sana
Maigizo ni mengi,kanisa ni biashara
 
Back
Top Bottom