Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

MaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ila mbowe na matendo yake ya kubaka wabunge wa viti maalamu ataenda mbigu ya wapi yeye? acheni ujinga kila mtu anjuwa siri za mwengine haya endelea
 
duu hatari na nusu
 
Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubebwa na wanaume kwa kutumia mahaba kama qualification criterion.

Angalia wanawake wote walio ktk nafasi zenye ushawishi mkubwa katika nchi hii lazima utakuta nyuma yake kuna mwanaume, anzia juu kabisa kushuka chini.

Hakuna mwanamke anayeweza kufika kileleni bila kusaidiwa na mwanaume, kama yupo mniambie ni nani na uangalie usiropoke usije ukaumbuka bure humu.

Huyo anayesemwa humu hayuko peke yake, wanawake wote, hasa wa kiafrika, hiyo ndio hulka yao. Tuseme tu ukweli, isingekuwa mwanamme leo hii tusingekuwa na rais mwanamke, watu wazima watanielewa. So please leave Angela alone.
 
kama mambo yenyewe ndo haya acha watu watoane ngeu kugombania jumba jeupe
 
MaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wacha tuu ninyamaze kama signature yangu ilivyo maana huyo wa avatar yako ni ya kaka yangu ninayemheshimu sana yeye na familia yake

Na wewe jitahidi kuheshimu familia za wengine ili na yako iheshimiwe
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…