Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

MaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.😂😂😂😂
ila mbowe na matendo yake ya kubaka wabunge wa viti maalamu ataenda mbigu ya wapi yeye? acheni ujinga kila mtu anjuwa siri za mwengine haya endelea
 
Hapana ni tamaa zake tu yule dada ukisikia watu wanatumia fursa kwa nguvu za u.c.h.i ndio yulea dada kote alikopita utashangaa ni kilaza dunia hii haipo...akiwa UK akamdandia Mbwelwa ....akapenya aliporudi anrpenya penya kwa nguvu ya k hatari sana yule dada..mtoto kigogo mmoja alikuwa PM na KM OAU....Mama Mpare....
....
duu hatari na nusu
 
Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubebwa na wanaume kwa kutumia mahaba kama qualification criterion.

Angalia wanawake wote walio ktk nafasi zenye ushawishi mkubwa katika nchi hii lazima utakuta nyuma yake kuna mwanaume, anzia juu kabisa kushuka chini.

Hakuna mwanamke anayeweza kufika kileleni bila kusaidiwa na mwanaume, kama yupo mniambie ni nani na uangalie usiropoke usije ukaumbuka bure humu.

Huyo anayesemwa humu hayuko peke yake, wanawake wote, hasa wa kiafrika, hiyo ndio hulka yao. Tuseme tu ukweli, isingekuwa mwanamme leo hii tusingekuwa na rais mwanamke, watu wazima watanielewa. So please leave Angela alone.
 
Yule mmama mwengine msomi naye alikuwa anaitwa jina la mwisho Kairuki ambaye mkwere alimteuaga kuwa mkuu wa TIC (Tanzania Investing Centre) sijui ile shirika la uwekezaji. Alikuwaga na ka English figure flani na macho ya kulegea. Jiwe siku za mwanzo mwanzo wa urais alimuaporoach na kumuomba akapigwa chini akamaindi kichiz. Yule maza alikuwa na madharau msomi na ana exposure. Alimuambia Jiwe waziwazi he was not of his type. Jiwe alimaindi kichiz zikaanza majungu na sarakasi eti haiwezekani akalipwa million hamsini kwa mwezi hadi akaamua kuachia ngazi. Ila alikua kafa kwa mkwere

Source mwanausalama rafiki yangu
kama mambo yenyewe ndo haya acha watu watoane ngeu kugombania jumba jeupe
 
MaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.😂😂😂😂

Wacha tuu ninyamaze kama signature yangu ilivyo maana huyo wa avatar yako ni ya kaka yangu ninayemheshimu sana yeye na familia yake

Na wewe jitahidi kuheshimu familia za wengine ili na yako iheshimiwe
 
Wakurungwa salam,

Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.

Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?

789F2780-6B07-46B0-944F-DA8C0B97EAB1.jpeg
 
Back
Top Bottom