Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Yupo china umesahau huyu ni mke wa balozi,?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee nani mkuu?Hiyo ilikuwa chakula ya mzee
Kj ndio nani na kunani huko nigeriaMsiache kutuambia ya kj kule naijeria.
Yaani mzee akitoka uraya lazima apitie naija kupiga kimoko.
👀Kj ndio nani na kunani huko nigeria
Huyu hapa.Wakurungwa salam,
Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.
Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?
Nyie wachonganishi sana.Yes analea mtoto wa marehemu
Sio kweli mbona alionesha kutaka kumtoa uwaziri wa afya Ummy huku mwisho mwisho?kwa hiyo wote hoa ametembea nao?
Yule alikuwa MRUNDI!ndo wasukuma walivyo
Kaa kimya wewe mtoto mdogo hujui Anna Kajumulo mambo aliyopitia mpaka kufika U. N.! Waache wazee wakae na siri zao.Mfano mzurimdogo Ni Prof. Anna Tibaijuka
Kisa kinakumbusha Habari ya Mfalme Daudi na mke wa mtu (Huria).
Mfalme Daudi aliagiza jamaa akapangwe mstari wa mbele vitani ili auwawe ili amle mkewe Kwa nafasi [emoji848][emoji848]
Na ikawa hivyo!
Na akazaliwa Mfalme Suleiman!
MaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unawaonea wivu hao wanawake na wewe nenda katafunwe na Mbowe.lakini mbowe anawatafuna sana wanawake wa chadema awe mbunge au mwanachama
Anapigika = Anakula maishaHuyu
Huyu alikuwa goma la Mzee wa chato,wakati mumewe akiwa ubalozini Urusi,asingeweza kufanya kazi na mama.
Yupo kwao same,anapigika.