Angelina Jolie aanza kusumbuliwa na Mama wa mtoto aliyemuasili

Naona nyote mnafunga akili zenu. Twende taratibu. Huoni kitendo cha kumtoa mtoto wake akaasiliwe kilikuwa cha kumtakia mema mtoto wake? Si ajabu kama angalimg'ang'ania angelikufa kutokana na umaskini? Nyie vipi!
Huyo alitelekeza mtoto kwa bibi sio kumtoa.Na tatizo ni uvivu.Maskini wanajulikana.na mtoto hana ugomvi na mzazi.watu wanajadili kitendo cha huyo mama kuibuka sasa baada ya mtoto kukua wakati taarifa zilizotolewa kwa jokie zilikua tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao WA chuo wameamuaje?
Pole sana
 
Alimtia tu kisha akamtelekeza. malaya anaridhika na pisi moja toka lini? Alimsaidia tu akaenda kupiga kazi uarabuni.
angemuoa tu aisee hao waabeshi wakiamua kutulia huwa wanatulia kwel, na angemzalia watoto wazuri kwel kwel, halafu wako vzuri kichwani naturally sema tu umaskini ndo kipengele.
 
Hata ungekuwa wewe ungeibuka! Hivi hapa Tanzania hakuna akinamama wanaoafiki mabinti wakapigwe Miti huko ili mradi waje na mboga nyumbani?

Okay chukulia ukweli wa mambo kwa tuliobahatika kukaa maeneo yale! Binti alimleta kwa mama yake ili amsaidie kumlea (je hapa ni single maza wangapi wanasukumizia watoto wao kwa mama zao kijijini?). Na Bibi alipoona hali ni mbaya na pengine mtoto atakufa akampeleka kwa yatima. Uamuzi huo ni wa kishujaa. Aliangalia uhai wa kichanga.

Tusilaumu ila tuelewe mwanamke aliyepitisha mtoto katika k yake hamsahau. Kikubwa ni kumfahamisha kuwa yupo na pindi akipata Mtumba amkumbuke. Masuala ya vyeti au majina si hoja, hoja ni DAMU. Binti ni damu yake na itabaki kuwa hivyo.
 
Kwan ukishakua mtoto wa Angelina,unakua na maokoto?..


Arudi Ethiopia achake...sema anabahati keshakua Pini, lazima apate Sponsa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…