Angelina Jolie aanza kusumbuliwa na Mama wa mtoto aliyemuasili

Angelina Jolie aanza kusumbuliwa na Mama wa mtoto aliyemuasili

Yeye alimtelekeza mtoto, mtoto alichukuliwa kituo cha watoto yatima
Hizo nazo ni mbinu za kulea. Kuliko angemuua. Mbona hii mbinu ni watu wengi wanafanya hivyo. Mfano India etc. Kuliko kubanana na mtoto ambaye hutakuwa na uhakika wa kumtunza, bora apelewe akalelewe huko. Hapo unaangalia uhai wa mtoto. Uhai wa mtoto unapewa kipaumbele.

Binti huyo naamini atamkana Biological mother sasa ila hapo mbeleni baada ya kunyaka mkwanja akajitegemea, atamrudia tu.
 
Inaonesha bado wewe una akili za kitoto. Ubinadamu ni tofauti na makaratasi. Mtoto kimakaratasi ataitwa wa Angelina ila yeye atajua nilipita katika K ya muethiopia. Kitendo cha kukaa naye tumboni kwa miezi 9 ni cha muhimu maana kama asingetaka angeaboti. Ujue. Damu nzito kuliko maji bwashee
Yote ulivyo taja ni hisia.
 
Screenshot_20231107-170022_Chrome.jpg

Inaonekana jolie alipewa taarifa za uongo kuhusu mzazi wa zahara
 
Huyo mama tatizo sio umaskini ni uvivu.Ingekua ni umaskini angekua ameshakufa njaa au kachakaa kabisa.Huyo itakua alitelekeza mtoto akale maisha au kuna muhuni alimdanganya sasa maisha yamemgonga akakumbuka ana mtaji wa mtoto ulaya.Ata uku bongo ipo hiyo.wako wanawake wanakimbiaga na watoto kwa kiburi maisha yakimgonga ndo anajirudisha nakutafuta ubaya wa mwanaume uku akitegemea kuishi kwa mgongo wa mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom