kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,506
Kuna kitu kinakua katika makaratasi na kuna kitu kipo katika damu. Kimakaratasi ni mtoto wa Angelina. Lakini kidamu ni mtoto wa muethiopia hata aende wapi. DNA ndiyo kitu cha maana katika uhai wa binadamu.Damu inausikaje mkuu. Adoption ni mkataba. kama kipindi anakuadopted sehemu ya mazazi ilijanzwa amekufa. How comes awe amefufuka?
Piga ua kuna siku akiwa na uwezo huyu mtoto, atamkumbuka biological mother wake pia. Naandika nafuta, ngoja niishie hapa. Mifano ninayo mimi mingi ya damu