Angelina Jolie aanza kusumbuliwa na Mama wa mtoto aliyemuasili

Hana lolote sema tu ashajua mtoto ana future ya uhakika target ya uyo mama wa kumzaa ni maokoto tu.
 
Kwan ukishakua mtoto wa Angelina,unakua na maokoto?..


Arudi Ethiopia achake...sema anabahati keshakua Pini, lazima apate Sponsa.
mkuu huyo binti ako na 18 tayari, ukute alishaanza modelling kitambo sema tu alikuwa hajatambulisha kwenye ulimwengu wa fashion rasmi, labda alikuwa anadeal na kampuni ndogo ndogo, usikute ana maokoto ya kutosha tayri, mkuu marekani sio bongo, watu hawatumiki ovyo ovyo/burebure. anaanzaje kurudi ethiopia wakati kwao ni marekani, huyo mama yake mzazi ni wa kumsaidia tu, ila huyo ni mtoto wa angelina na brad pitt
 
Mimi nina ndugu yangu ambae ni dada aliadopt mtoto, mtoto alipofikisha miaka 6 mama ake mzazi akajitokeza, sijawahi kufatilia ilo suala walimalizana vipi ila mtoto bado anakaa na sista mara moja moja hasa kipichi cha likizo anaendaga kwa mama ake mzazi na kukaa siku kadhaa then sista anaenda kumchukua. Anjelina amuinue kimaisha uyo mama mzazi suala la mtoto kuwa na upendo kwa mama ake mzazi libaki kuwa maamuzi ya zahara mwenyewe. Mama wa Zahara sio wa kulaumiwa umasikini ni mbaya sana, hopeful mtoto hajalishwa chuki kwa wazazi wake wa kibaiolojia.
 
Wapo kielimu zaidi lakini kibinaadamu nimewashuri kuwa wawapo na chochote wamsaidie ila wakimaliza chuo tufanye DNA kubaini uhalali wa kuwa ni mzazi wao.
Maana kwa maelezo tu hakuna uhusiano wa stori ya kupatikana watoto na yeye kuwa ni mzazi.
Bado wako na mapenzi na wewe?
 
Sawa we sio yatima kwakuwa umevuka umri wa miaka 18
Staki niadopt me yatima πŸ₯ΉπŸ₯Ή
Kwani miaka 18 inabadili kuwa sip yatima?!
Hayo me sitaki kujua, kikubwa uniadopt nije kula bata, ukifa mwanao nipate ulisi 🀣🀣🀣
 
Ni mama yake mzazi lakini hana mamlaka naye.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 na kweli akiumwa tu mafua na we umenunua ka ist kako bassi unaambiwa unataka kumtoa kafara
Mkuu kaa na watoto wako tu..heri uwe mchawi tu mtaani na kwa nduguzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…