Angelina Jolie aanza kusumbuliwa na Mama wa mtoto aliyemuasili

kwa hyo ndgu yako alimuoa au aliacha pisi ikasepa ethiopia
 
Amekulia maisha ya bata toka anajitambua.
Halafu arudi kwenye mihogo.. hata ningekuwa mimi.

Afanye kumsaidia mama yake atoke kwenye dimbwi la umasikini, na si yeye tena kurudi kwenye umasikini.
Hawezi kula muhogo yule Zahara,, imagine being a daughter of Angelina jolie and Brad Pitt what a blessing!huyo mama ajitulize tu
 
Hawezi kula muhogo yule Zahara,, imagine being a daughter of Angelina jolie and Brad Pitt what a blessing!huyo mama ajitulize tu
Na mama ametegeshea hadi amekua
Sasa hivi anaangalika ,ndo ananza kuleta ukanjanja.

Kwanini asijitokeze kumchukua akiwa bado mdogo..angejitokeza kusema mtoto ni wake.


Amesubiri amekua ndo aanza kuleta porojo.
 
At least
 
Kwani mama yake huyu wa Madonna hajapatikana?Mnaonaje tujiorganise tutafute mama yake akamchuke aje acharazwe bakora na sio Zahara?
 

Attachments

  • Screenshot_20231107-125316_1.jpg
    76.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231107-125316_1.jpg
    76.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…