Kwani hili suala la talaka limemuathiri vipi Brad?Hataki child support?basi atamkamua kwenye kugawana mali,ila Brad lazima atowe child support.Namchukia sana Anjelina,si kwa kumsababishia depression Brad jamani.Ila malipo ni hapa hapa duniani,mama Brad alimshauri mwanae hakusikia ,leo anaachwa kiaibu
Njoo tuvute bange...Duuuuu kiboko kabisaaa
Hey Nifah take it easy wala sikuwa namaanisha kwa uzito ulivyochukuliaAiseee wewe jamaa pamoja na kujitahidi kutuletea habari nzuri lakini hii comment umevuruga kila kitu.
Maziwa ndiyo yanayosababisha mtu kuolewa?
Mbona alikuwa anaishi na ex hubby Brad huku akiwa hana hayo maziwa?
Kwani ni yeye aliyeachwa sababu ya kukatwa huko maziwa hadi ulipe uzito suala la kukatwa kwake maziwa?
Huu ni udhalilishaji kwa wanawake,behave yourself.
Period
TwendeeeeeNjoo tuvute bange...
Uko vizuri kwa habari za celebrities wa nje [emoji119][emoji119][emoji122]
Unataka bange ya Arusha au Dodoma??Twendeeeee
Brad Pitt alichomfanyia Jennifer Aniston mungu alimuona....dada wa watu alikuwa ka chizi, eti kamuacha ghafla anasema hazai kisa kamuona Jolie!...malipo ni hapa hapa chini ya jua!
Lakini mimi nimelichukulia kwa uzito. Jaribu kujitathmini kabla ya kuandika.Hey Nifah take it easy wala sikuwa namaanisha kwa uzito ulivyochukulia
Nataka anayovuta mkuluUnataka bange ya Arusha au Dodoma??
Ya Lumumba inatokea Dodoma kwa wapiga kura wao wa kudumu..Nataka anayovuta mkulu
Hahahah hiyo hapana nipe ya arushaYa Lumumba inatokea Dodoma kwa wapiga kura wao wa kudumu..
Haa haa haa..wewe hutatandikwa milioni saba, bali we ni richochezi..Nataka anayovuta mkulu
Ila hicho kichwa chako ukikiweka na bange si utachizika kabisa..Hahahah hiyo hapana nipe ya arusha
Katika ubora wakoshe is sexy and tombabo...I like her lips
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio nataka niongezeke kuchizikaIla hicho kichwa chako ukikiweka na bange si utachizika kabisa..
Basi nitakutafuta nikupe... hehehe[emoji23][emoji23][emoji23] ndio nataka niongezeke kuchizika
Haya poa ,ulete nyingiiBasi nitakutafuta nikupe... hehehe
Unataka zingine usafirishe upeleke US??Haya poa ,ulete nyingii