Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

Hataki child support?basi atamkamua kwenye kugawana mali,ila Brad lazima atowe child support.Namchukia sana Anjelina,si kwa kumsababishia depression Brad jamani.Ila malipo ni hapa hapa duniani,mama Brad alimshauri mwanae hakusikia ,leo anaachwa kiaibu
Kwani hili suala la talaka limemuathiri vipi Brad?
 
Aiseee wewe jamaa pamoja na kujitahidi kutuletea habari nzuri lakini hii comment umevuruga kila kitu.
Maziwa ndiyo yanayosababisha mtu kuolewa?
Mbona alikuwa anaishi na ex hubby Brad huku akiwa hana hayo maziwa?
Kwani ni yeye aliyeachwa sababu ya kukatwa huko maziwa hadi ulipe uzito suala la kukatwa kwake maziwa?
Huu ni udhalilishaji kwa wanawake,behave yourself.
Period
Hey Nifah take it easy wala sikuwa namaanisha kwa uzito ulivyochukulia
 
Brad Pitt alichomfanyia Jennifer Aniston mungu alimuona....dada wa watu alikuwa ka chizi, eti kamuacha ghafla anasema hazai kisa kamuona Jolie!...malipo ni hapa hapa chini ya jua!

Alaaaah, malipo ni hapahapa duniani eeeh?
 
Angelina mwenyewe pia anakauchizi flani hivi. ..sidhani kama network yake iko vizuri. ....Mwenye Enzi Mungu awalinde hao watoto. .
 
Back
Top Bottom