Eeeendiwooo tukavute wote,si unajua wote machiziUnataka zingine usafirishe upeleke US??
Aliacha, safari hii yeye kaachwa lazima aumie, pia anaambiwa kwenda kusalimia tu watoto na hakuna cha mbadilishano,Angie anataka full custody. Kumbuka Brad alimuacha Jennifer Aniston kisa hazai. Lazima Brad kaathirika especialy kisaikolojiaKwani hili suala la talaka limemuathiri vipi Brad?
Fikiria why asubiri wafunge ndoa, then two yrs later anamuacha mwenzake, kwa nini hakumuacha ndani ya miaka 10 ile ya uchumba ? Angie ni chizi yule, talaka ya tatu hii, kama Dida vile.Angelina mwenyewe pia anakauchizi flani hivi. ..sidhani kama network yake iko vizuri. ....Mwenye Enzi Mungu awalinde hao watoto. .
Jennifer Anston atakuwa anachekelea tu huko aliko,kazi ipo kwenye kugawana mpunga,Brad kazi anayo,Child support kwa watoto sita ataipata fresh.
Brad anaomba watu wamsaidie kulata haki za watoto inavyoonekana jolie atapewa haki zote kute, jamaa amedataAliacha, safari hii yeye kaachwa lazima aumie, pia anaambiwa kwenda kusalimia tu watoto na hakuna cha mbadilishano,Angie anataka full custody. Kumbuka Brad alimuacha Jennifer Aniston kisa hazai. Lazima Brad kaathirika especialy kisaikolojia
Aliacha, safari hii yeye kaachwa lazima aumie, pia anaambiwa kwenda kusalimia tu watoto na hakuna cha mbadilishano,Angie anataka full custody. Kumbuka Brad alimuacha Jennifer Aniston kisa hazai. Lazima Brad kaathirika especialy kisaikolojia
alafu alikuwa haongei (kamnunia) baba yake kwa muda mrefu sana!Fikiria why asubiri wafunge ndoa, then two yrs later anamuacha mwenzake, kwa nini hakumuacha ndani ya miaka 10 ile ya uchumba ? Angie ni chizi yule, talaka ya tatu hii, kama Dida vile.
Huoni kama ni Karma kwa huyo Brad?Aliacha, safari hii yeye kaachwa lazima aumie, pia anaambiwa kwenda kusalimia tu watoto na hakuna cha mbadilishano,Angie anataka full custody. Kumbuka Brad alimuacha Jennifer Aniston kisa hazai. Lazima Brad kaathirika especialy kisaikolojia
hapo sasaMwaka juzi kwenye birthday ya brad pitt mkewe angelina jolie alimnunulia jamaa kisiwa sasa sijui mdada atachukua kisiwa chake
Mwaka juzi kwenye birthday ya brad pitt mkewe angelina jolie alimnunulia jamaa kisiwa sasa sijui mdada atachukua kisiwa chake
alafu alikuwa haongei (kamnunia) baba yake kwa muda mrefu sana!
jamani si u google tuuuuu Yarabi Mola wangu!
jamani si u google tuuuuu Yarabi Mola wangu!
mbona umeniuliza kama ni mambo ya USA ....wewe nyani ngabu mbona unauliza majibu?