Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

Wanandoa wenye jina kubwa kwenye ulimwengu wa filamu duniani, Bradd Pitt na Angelina Jolie, wameachana.

Jolie amesaini nyaraka za talaka ya kuachana na mume wake Brad Pitt akidai kuwa wameshindwa kutatua tofauti zao.

Nyaraka za mahakama zinaonyesha kuwa wanandoa hao waliachana rasmi Septemba 15 ikiwa ni miaka miwili na mwezi mmoja tangu waoane mnamo Agosti 2014.

...
Kwa sasa, Jolie anatafuta ulezi wa watoto wao sita na ameitaka mahakama imruhusu Pitt kuwatembelea watoto wao.

http://www.mwananchi.co.tz/…/1597578-3389728-1do…/index.html

See More

7 Comments
1 Share

6464 64
 
Kwani hili suala la talaka limemuathiri vipi Brad?
Aliacha, safari hii yeye kaachwa lazima aumie, pia anaambiwa kwenda kusalimia tu watoto na hakuna cha mbadilishano,Angie anataka full custody. Kumbuka Brad alimuacha Jennifer Aniston kisa hazai. Lazima Brad kaathirika especialy kisaikolojia
 
Angelina mwenyewe pia anakauchizi flani hivi. ..sidhani kama network yake iko vizuri. ....Mwenye Enzi Mungu awalinde hao watoto. .
Fikiria why asubiri wafunge ndoa, then two yrs later anamuacha mwenzake, kwa nini hakumuacha ndani ya miaka 10 ile ya uchumba ? Angie ni chizi yule, talaka ya tatu hii, kama Dida vile.
 
Jennifer Anston atakuwa anachekelea tu huko aliko,kazi ipo kwenye kugawana mpunga,Brad kazi anayo,Child support kwa watoto sita ataipata fresh.

Wala hataki child support
 
Aliacha, safari hii yeye kaachwa lazima aumie, pia anaambiwa kwenda kusalimia tu watoto na hakuna cha mbadilishano,Angie anataka full custody. Kumbuka Brad alimuacha Jennifer Aniston kisa hazai. Lazima Brad kaathirika especialy kisaikolojia
Brad anaomba watu wamsaidie kulata haki za watoto inavyoonekana jolie atapewa haki zote kute, jamaa amedata
 
Aliacha, safari hii yeye kaachwa lazima aumie, pia anaambiwa kwenda kusalimia tu watoto na hakuna cha mbadilishano,Angie anataka full custody. Kumbuka Brad alimuacha Jennifer Aniston kisa hazai. Lazima Brad kaathirika especialy kisaikolojia

Bibie ndio anataka hivyo ila mahakamani ndio itaamua kwa kuwahoji na kuangalia ukweli wa shutma zao
 
Fikiria why asubiri wafunge ndoa, then two yrs later anamuacha mwenzake, kwa nini hakumuacha ndani ya miaka 10 ile ya uchumba ? Angie ni chizi yule, talaka ya tatu hii, kama Dida vile.
alafu alikuwa haongei (kamnunia) baba yake kwa muda mrefu sana!
 
Halafu kuna maju.ha huwa wanaapia eti wazungu hawachiti!

USA baby
upload_2016-9-21_9-4-46.png
upload_2016-9-21_9-4-47.png
upload_2016-9-21_9-4-48.png
.

Ndoa ya Wamarekani hadi wala vumbi wanaifuatilia.

USA....man's greatest invention!

upload_2016-9-21_9-5-28.png
upload_2016-9-21_9-5-29.png
upload_2016-9-21_9-5-29.png
 
Mwaka juzi kwenye birthday ya brad pitt mkewe angelina jolie alimnunulia jamaa kisiwa sasa sijui mdada atachukua kisiwa chake
 
Aliacha, safari hii yeye kaachwa lazima aumie, pia anaambiwa kwenda kusalimia tu watoto na hakuna cha mbadilishano,Angie anataka full custody. Kumbuka Brad alimuacha Jennifer Aniston kisa hazai. Lazima Brad kaathirika especialy kisaikolojia
Huoni kama ni Karma kwa huyo Brad?
 
Mwaka juzi kwenye birthday ya brad pitt mkewe angelina jolie alimnunulia jamaa kisiwa sasa sijui mdada atachukua kisiwa chake

Duh!

Yaani unajua hadi yaliyojiri kwenye sherehe ya kuzaliwa ya huyo jamaa?

Ama kweli USA ni homa ya dunia.
 
Talaka nayo inaongeza CV pia eneo la devorced wacha waachane kama wenyewe wamejipima wakaona wamechokana
 
Back
Top Bottom