Kwa mechi ya leo, "The Best Team Lost"The best team won!!!
tumuunge mkono jweed, mpira siyo idadi ya kona bali ni whole game tactics... akina etoo walikua disapointment fullyKwa mechi ya leo, "The Best Team Lost"
...eee mwenyezi mungu muweza wa yote hebu wakutanishe
Misri Vs Algeria
kwenye mashindano haya,
Ameen!
hio mechi mkuu itakuwa balaa mbona kama ikitokea.
Mbu uko wapi? Dua zako hizo zimetimia.
Kwa mechi ya leo, "The Best Team Lost"
Niliona benchi ya Masri wanapiga makelele ya Allah, Allah .. baada ya mechi. Hata wao wanajijua hawakua the best team ila inaonekana wanamini Allah alikuwa upande wao leo