Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Kwa mechi ya leo, "The Best Team Lost"
tumuunge mkono jweed, mpira siyo idadi ya kona bali ni whole game tactics... akina etoo walikua disapointment fully

anyway, maybe i am biased
 
Ukiangalia mashindano kwa ujumla toka yalipoanza, Misri ni timu iliyokamilika na ipo very strong, ila kwa mechi ya leo Cameron walitawala sana, kwa leo the best team ilikuwa Cameron.
 
hii mechi imepooza sana naona wanaogopana, wasipoangalia wanaweza kwenda hadi penati
 
_47181858_cameroon_ap.jpg

_47182075_emana.jpg

_47182103_hassan_ap.jpg
 
Kwa mechi ya leo, "The Best Team Lost"

Niliona benchi ya Masri wanapiga makelele ya Allah, Allah .. baada ya mechi. Hata wao wanajijua hawakua the best team ila inaonekana wanamini Allah alikuwa upande wao leo
 
Naona Zambia wamemaliza dakika za mwishoni stronger. Wakiendelea hivyohivyo extra time wanaweza kuvuna
 
Niliona benchi ya Masri wanapiga makelele ya Allah, Allah .. baada ya mechi. Hata wao wanajijua hawakua the best team ila inaonekana wanamini Allah alikuwa upande wao leo

The winner is always the best. Likewise, the success of man is not measured by how intelligent is he, but how much wealth he has brought in.
 
Back
Top Bottom