Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

Nigeria ya tano....Kipa(Victor Enyeama).......goal
 
kufa kufa tu,hakuna kiume wala kike.!!...anyway wamejitahidi sana
 
Duh Algeria na Egypt wanacheza tena, hao Ivory Coast mliokuwa mnawapa nafasi wameishia wapi?
 
sichezi tena kamari. mnaija kala dola yangu mia. siwapendi hawa wezi na hawatafika mbali.
 
waarabu wengi sana wamepania hii mechi. hawa jamaa ni zaidi ya simba na yanga upinzani wao.
 
Hapo nimecheka kweli mkuu. Unaingia dili na Wanaija?....😀

sirudii tena mkuu nilifikiri tv wameipiga juju hadi tukahakikisha kwenye net.sikubali tena hata kama timu yangu itakuwa imeongoza kwa goli 9.we fikiria kwa nn hawa jamaa walishinda. an who alikuwa anadeserve kuwinn da mechi?
 
wapopo cio watu. mi sa ivi hata nikiambiwa nioe miss naija bure. SITAKI nakataa kabisa. we watu gani hadi western union kwao hamna nchi nzima.
 
...Ok, ndio kusema kwa 'muonekano wangu' ni;

semis;

Algeria Vs Egypt

Ghana Vs Nigeria

final;

Egypt Vs Ghana

Bingwa...

Egypt! 🙁
 
Back
Top Bottom