Anguko la Diamond Platinumz kimziki

Anguko la Diamond Platinumz kimziki

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Wakuu sishabikii ,ila I predict nyimbo zote zinazokuja za Diamond Platnumz hazitahit tena,Katoa wimbo unaitwa Kitorondo,nimesikiliza but kaimba rubbish ukifananisha na ''My number one''

count on me hakutakuwa na wimbo mzuri na utakao mjulisha Diamond kimataifa kama ''My number one remix"
now atafunikwa hata na wasanii wa kawaida wa hapa bongo.

NB:ASIMDHARAU ALIKIBA WOTE WANAFANANA TU
 
Wakuu sishabikii ,ila I predict nyimbo zote zinazokuja za Diamond Platnumz hazitahit tena,Katoa wimbo unaitwa Kitorondo,nimesikiliza but kaimba rubbish ukifananisha na ''My number one''

count one me hakutakuwa na wimbo mzuri na utakao mjulisha Diamond kimataifa kama ''My number one remix"

You cant be no one forever
 
Uko very wrong mkuu...Diamond atakuwa mkubwa mara ata tatu ya hapa alipo amini usiamini,na kitorondo ni next big hit kibongobongo......Alafu kwa nini mashabiki wa Kiba mnamlaumu diamond kupotea kwa kiba, Kiba kapotea kwa uzembe wake msimhusishe yoyote.
 
achana na kitorondo wewe, lazima utikise kichwa lile dude likipigwa redioni. bonge moja la hit na litasumbua sana kwenye soko la ndani
 
hiv mtoa mada unamjua diamond kweli wewe ?.
kwa taarifa yako jamaa hakuna mwanamuziki anayemfikia hapa bongo kwa kasasa !
 
Attachments

  • 1403848249823.jpg
    1403848249823.jpg
    154.1 KB · Views: 1,154
Kwa hiyo unataka aporomokee auu???muombee ushindi tu sio mabayaa
 
graph ya diamond inapaa angani. na kuanguka kwake si leo wala kesho. labda afe !
 
Yaani badala ya kumtakia heri mtanzania mwenzako ndio una predict negativity. Tujitahidi kuwa positive watz wenzangu ndio maendeleo
 
Kwa hiyo unataka aporomokee auu???muombee ushindi tu sio mabayaa
Watanzania hapana wanadamu kuna ambao hawapendi kuona flani akiwa pale.Ila lazima heaters wawepo ili watu wafanikiwe,ukiona watu hawapondi unachofanya hata kama ni kizuri jua something is wrong.
 
Wakuu sishabikii ,ila I predict nyimbo zote zinazokuja za Diamond Platnumz hazitahit tena,Katoa wimbo unaitwa Kitorondo,nimesikiliza but kaimba rubbish ukifananisha na ''My number one''

count one me hakutakuwa na wimbo mzuri na utakao mjulisha Diamond kimataifa kama ''My number one remix"
now atafunikwa hata na wasanii wa kawaida wa hapa bongo.

NB:ASIMDHARAU ALIKIBA WOTE WANAFANANA TU

kama kazi ya utabiri unaiweza hebu tutabirie mwakani nani mshindi ni ukawa au ccm? maana huo utabiri wako kwa diamond huna tofauti na mchawi nyinyi ndio mnaofurahia mtaani kujaa majobless.
 
Back
Top Bottom