sijui kwanini naamini kipindi mr nice alivyokuwa juu usingeweza kumfagilia hivi...naamini kipindi mr nice yupo juu ungesema bongo hamna msanii kama marehemu mbaraka mwishehe!.........wabongo wengi humkubali mtu akiwa amechoka kipindi mtu yupo juu atakandiwa sana