Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Wewe hata kingereza ni mtihani. Stick to kiswahili ,common peasant.Kunyaland at gun's perils to shoot ones head!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hata kingereza ni mtihani. Stick to kiswahili ,common peasant.Kunyaland at gun's perils to shoot ones head!
Leo umeamua kutoka ile thread yako uje ututembelee huku, haya karibu.ujanja mwingi wa sugura ndio uliomfanya kobe kushinda riadha😂😂😂👏👏👏👏👏
Wewe hata kingereza ni mtihani. Stick to kiswahili ,common peasant.
It's not over yet. Don't start celebrating. Kenya can still pay it's debts if treasury stops borrowing. Simple as that. Treasury must change their policy and stop borrowing, they should trim the expenditure side of the budget and everything will be okay in a few years. If they continue borrowing then we all know the result.[/
deni la sgr tu ni baada ya miaka 50😀😀😀😀😀😀 hayo mengine mtaweza
Imf shida yao huwa ni kuprivatize kila kitu. Yaani ni kuuza mashirika ya kiserikali kwa wanabiashara. Halafu pia wanapenda kulazimisha serikali kupiga wafanyakazi kalamu, au kupunguza mishahara ya watu. Walifanya hivyo 1980's kwa mfumo uliyoitwa "structural adjustment programme" yaani SAP.Alafu wala hata hawatowapa mashart mengii
Utasikia ili tukuokoe. Kubali kuhalalisha ushoga nchini mwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji113][emoji113][emoji113][emoji23] [emoji23] [emoji23] naona mialiko ya Donald Trump, Theresa May na Xi haijazaa chochote sababu tulitambiwa mpaka JPM wetu katukanwa amejichimbia uvunguni
Au kwenye hili English haikufanya kazi.?
😂😂😂😂 unaambiwa English imeula wa chuya hapo. Hili janga jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji113][emoji113][emoji113]
wazee wa kupika uchumi mumeona faida yake sasa mbinu zote zimekataa😂😂😂😂😂😂😂😂Leo umeamua kutoka ile thread yako uje ututembelee huku, haya karibu.
hata mungeeka 30% vat on fuel bado hamuwezi kulipa madeni kwasababu dr ndii mchumi wenu aliwah kuwaambia kenya wanakopa kwa ajili ya matumizi na sio maendeleo na pia alionya kuhusu SGR haitaweza kulipa deni na pia imekula pesa nyingi sana ukilinganisha na vyuma chakavu mlivopokea yani value for money hakuna 👏👏👏👏👏👏👏👏👏It's not over yet. Don't start celebrating. Kenya can still pay it's debts if treasury stops borrowing. Simple as that. Treasury must change their policy and stop borrowing, they should trim the expenditure side of the budget and everything will be okay in a few years. If they continue borrowing then we all know the result.
Aisee, ukuwa huna kitu unakuwa mtumwa.Alafu wala hata hawatowapa mashart mengii
Utasikia ili tukuokoe. Kubali kuhalalisha ushoga nchini mwako.
The big 4 is in jeopardy.It's not over yet. Don't start celebrating. Kenya can still pay it's debts if treasury stops borrowing. Simple as that. Treasury must change their policy and stop borrowing, they should trim the expenditure side of the budget and everything will be okay in a few years. If they continue borrowing then we all know the result.
Hahah masikin ni either uwe jeuri au MtumwaAisee, ukuwa huna kitu unakuwa mtumwa.
hata mungeeka 30% vat on fuel bado hamuwezi kulipa madeni kwasababu dr ndii mchumi wenu aliwah kuwaambia kenya wanakopa kwa ajili ya matumizi na sio maendeleo na pia alionya kuhusu SGR haitaweza kulipa deni na pia imekula pesa nyingi sana ukilinganisha na vyuma chakavu mlivopokea yani value for money hakuna 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Msikope mtaendesha vipi nchi? Au hujui mnakopaga kulipa madeni? Inayobaki inaingia treasury kulinda thamani ya Ksh na nyingine inaingia mifukoni mwa watu.It's not over yet. Don't start celebrating. Kenya can still pay it's debts if treasury stops borrowing. Simple as that. Treasury must change their policy and stop borrowing, they should trim the expenditure side of the budget and everything will be okay in a few years. If they continue borrowing then we all know the result.
Mzee unaongea kuhusu nini?!!,maana hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga JFAaaaah! Maumivu ambayo yamekufanya uibuke na username mpya ya Jf, kama mchuuza ngono akishachafua jina kitaa. Hivi niulize, hii ndio ya tatu au ya nne?
Huu ushauri David Ndii amekua akiusema kila siku lakini Jubilee na washirika wake waliendelea kumdharau na kumkashifu, tatizo lenu ni ukabila umeathiri uwezo wenu wa kufikiria.It's not over yet. Don't start celebrating. Kenya can still pay it's debts if treasury stops borrowing. Simple as that. Treasury must change their policy and stop borrowing, they should trim the expenditure side of the budget and everything will be okay in a few years. If they continue borrowing then we all know the result.