Anguko la kiuchumi KENYA, Shirika la fedha kukutana na serikali ya Kenya

Anguko la kiuchumi KENYA, Shirika la fedha kukutana na serikali ya Kenya

Midanganyika wanachangamkia ndii kweli kweli.Let me tell you here and now that Ndii is a non starter.He earns his money by being sensational like that.We know he is a bit insane also.
 
My best part

"Two days from today, Kenya might find itself on a path to financial ruin should the International Monetary Fund (IMF) lock it out of a Sh100 billion precautionary credit facility.

Without a deal, Kenya could be in trouble as this could signal to international investors that the country is a 'high-risk' investor destination."
Is it your best part still?
 
Huyu mtu aliemdanga wapi?
Sisiemu haijamlipa msharaha wa mwaka moja tangu aanze blogging ya kusifia JPM. Ikabidi ajipe shuguli. Anapatikana kule maeneo ya Mwananyamala akisukuma maisha na kuwaza yaliyompata
 
Mbona na Tzn njia ni hiyo hiyo ya kukopa so far deni limeongezeka sana hadi kufikia mwisho wa mwaka mpya wa fedha utakuta liko mara dufu maana sgr,umeme,ma flyover yote yametatuliwa mikopo ko hakuna sherehe ya kumcheka jirani
 
Oh shit.
Miradi yetu siyo yote tuliyokopa.
Mengine ni kodi za watz
 
Back
Top Bottom