ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
un
Hujui unachoongea dingi unaropoka tuu,,mradi upi mkubwa umekamilishwa kwa pesa zenu kila siku finance minister anaombeleza vikopo afu unanidanganya nani? Hakuna mradi mkubwa hata mmoja ambao Tzn inaugharamia na ukakamilika bila mkopo,condom tu za msaada afu unasajeOh shit.
Miradi yetu siyo yote tuliyokopa.
Mengine ni kodi za watz