Anguko la kiuchumi KENYA, Shirika la fedha kukutana na serikali ya Kenya

It's not over yet. Don't start celebrating. Kenya can still pay it's debts if treasury stops borrowing. Simple as that. Treasury must change their policy and stop borrowing, they should trim the expenditure side of the budget and everything will be okay in a few years. If they continue borrowing then we all know the result.
 
 
Alafu wala hata hawatowapa mashart mengii

Utasikia ili tukuokoe. Kubali kuhalalisha ushoga nchini mwako.
Imf shida yao huwa ni kuprivatize kila kitu. Yaani ni kuuza mashirika ya kiserikali kwa wanabiashara. Halafu pia wanapenda kulazimisha serikali kupiga wafanyakazi kalamu, au kupunguza mishahara ya watu. Walifanya hivyo 1980's kwa mfumo uliyoitwa "structural adjustment programme" yaani SAP.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona mialiko ya Donald Trump, Theresa May na Xi haijazaa chochote sababu tulitambiwa mpaka JPM wetu katukanwa amejichimbia uvunguni

Au kwenye hili English haikufanya kazi.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji113][emoji113][emoji113]
 
hata mungeeka 30% vat on fuel bado hamuwezi kulipa madeni kwasababu dr ndii mchumi wenu aliwah kuwaambia kenya wanakopa kwa ajili ya matumizi na sio maendeleo na pia alionya kuhusu SGR haitaweza kulipa deni na pia imekula pesa nyingi sana ukilinganisha na vyuma chakavu mlivopokea yani value for money hakuna πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
The big 4 is in jeopardy.
 




mimi nashangaa mtu anadaiwa , ana njaa hajala siku nzima, anaokota chakula shimo la taka halafu bado anajigamba yeye ni tajiri ukanda mzima tena anatumia kingereza huku tumbo lake likinguruma kwa mizoga aliyokula πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila wakenya wana roho ngumu kweli
 
Msikope mtaendesha vipi nchi? Au hujui mnakopaga kulipa madeni? Inayobaki inaingia treasury kulinda thamani ya Ksh na nyingine inaingia mifukoni mwa watu.
 
Aaaaah! Maumivu ambayo yamekufanya uibuke na username mpya ya Jf, kama mchuuza ngono akishachafua jina kitaa. Hivi niulize, hii ndio ya tatu au ya nne?
Mzee unaongea kuhusu nini?!!,maana hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga JF
 
Huu ushauri David Ndii amekua akiusema kila siku lakini Jubilee na washirika wake waliendelea kumdharau na kumkashifu, tatizo lenu ni ukabila umeathiri uwezo wenu wa kufikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…