ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hujui unachoongea dingi unaropoka tuu,,mradi upi mkubwa umekamilishwa kwa pesa zenu kila siku finance minister anaombeleza vikopo afu unanidanganya nani? Hakuna mradi mkubwa hata mmoja ambao Tzn inaugharamia na ukakamilika bila mkopo,condom tu za msaada afu unasajeOh shit.
Miradi yetu siyo yote tuliyokopa.
Mengine ni kodi za watz
un
Hujui unachoongea dingi unaropoka tuu,,mradi upi mkubwa umekamilishwa kwa pesa zenu kila siku finance minister anaombeleza vikopo afu unanidanganya nani? Hakuna mradi mkubwa hata mmoja ambao Tzn inaugharamia na ukakamilika bila mkopo,condom tu za msaada afu unasaje
un
Hujui unachoongea dingi unaropoka tuu,,mradi upi mkubwa umekamilishwa kwa pesa zenu kila siku finance minister anaombeleza vikopo afu unanidanganya nani? Hakuna mradi mkubwa hata mmoja ambao Tzn inaugharamia na ukakamilika bila mkopo,condom tu za msaada afu unasaje
Na zile ndege hazikununuliwa kwa mkopo pia.
Wafaa kufaham hilo
Remember Kenya give Tz grants to develop health centers.
Zile hela zilikua ni rambirambi kwa ajali ya watu waliozama ziwa victoria.
Isipokuwa ndio zikagawanywa kujenga na Vituo vya afya.
Mbona nyie tunawasaidia chakula?? embu funga bakuli.
Nataka uniletee evidence kenya imetoa hela ku finance mradi mkubwa Tz hapo ndio nitakuona mna uwezo.
Hizo 125 tsh ht hazikamilishi ht vituo viwili vya afya nahisi zimeliwa karanga tu.
Maana Tsh 125 zitajenga nini??
Ingekuwa zimetolewa $ 125 ningesema sawa zitajenga mradi WOWOTE.
Ila Tsh 125 ht nyumba ya kimara haikamiliki??!And not "give tz" it is a past tense say "gave Tz" because 2018 already passed by!
We gave you money and we will continue giving you money whenever you are in need. On the other hand Kenya buy food from you, you don't give us. Do you see the difference?
Vipi?My best part
"Two days from today, Kenya might find itself on a path to financial ruin should the International Monetary Fund (IMF) lock it out of a Sh100 billion precautionary credit facility.
Without a deal, Kenya could be in trouble as this could signal to international investors that the country is a 'high-risk' investor destination."
Ulidhani haitakuwa? POLEHahaa! ...and Tz will become a middle income economy! Ungeongeza na hiyo pia. [emoji1]
Hehe, ila sio baada ya angukio la uchumi wa Kenya 'in two days' kama mlivotabiri. Miaka mitatu baadaye tupo ligi za @$100B+. Tupo njiani kuwapiga double double.Ulidhani haitakuwa? POLE
Nasemaje wewe ulidhan hatutafika middle income nauliza maana uliandika kwa kejeli mwaka juzi.Sasa hata mngetriple GDP tuko league moja tu,mkiweza kuingia upper middle income ndio hatutakua league mojaHehe, ila sio baada ya angukio la uchumi wa Kenya 'in two days' kama mlivotabiri. Miaka mitatu baadaye tupo ligi za @$100B+. Tupo njiani kuwapiga double double.
Uchumi wa Kenya upo mikononi mwa TANZANIA a.k.a u humi wa mazingaobwe walichobaki nacho sasa hv nikitu kisichokua na maana tu ndio wanacholingia ambayo ni GDP na pia sio yao ya mkopo hata TZ ikiamua kukopa mpaka tuwe tunadaiwa sawa na wao bc GDP zetu zinaweza kua sawa .Nasemaje wewe ulidhan hatutafika middle income nauliza maana uliandika kwa kejeli mwaka juzi.Sasa hata mngetriple GDP tuko league moja tu,mkiweza kuingia upper middle income ndio hatutakua league moja
Uhuru anajua mikenya mizuzu ndio maana anacheza na akili zenu , wakenya wengi hawaangalii huduma bora wala mahitaji muhimu wao wanachoangalia cha Kwanza thaman yao ya pesa iwe juu kuliko ya TANZANIA cha pili GDP iwe kubwa bc washaridhika ndio maana Uhuru anajitahid Sana kukopa ili kufidia GDP isiotekelezeka au GDP hewa ili kuwafurahisha bendera fata upepo kama weweHehe, ila sio baada ya angukio la uchumi wa Kenya 'in two days' kama mlivotabiri. Miaka mitatu baadaye tupo ligi za @$100B+. Tupo njiani kuwapiga double double.
. Naweza kukuoa na familia yako milelehivi unjua naweza nkakulisha na familia yako miaka 20ππ
Msilielimishe ili jinga halielewagi darasan harakaHehe, ila sio baada ya angukio la uchumi wa Kenya 'in two days' kama mlivotabiri. Miaka mitatu baadaye tupo ligi za @$100B+. Tupo njiani kuwapiga double double.
. Kiberaaaaaaaaaaaun
Hujui unachoongea dingi unaropoka tuu,,mradi upi mkubwa umekamilishwa kwa pesa zenu kila siku finance minister anaombeleza vikopo afu unanidanganya nani? Hakuna mradi mkubwa hata mmoja ambao Tzn inaugharamia na ukakamilika bila mkopo,condom tu za msaada afu unasaje