Anguko la Makonda

Ukiitwa kuthibitisha hizo tuhuma utaweza ?
Kuthibitisha tuhuma sio tatizo, tatizo unatakiwa uthibitishe wapi, hapa hapa ktk mfumo ambao hao hao wanaokutaka uthibitishe ndio "Accomplices".
 

Mwanakulitafuta...alijisahau sana. Yaani ni zaidi ya utoto wa kukosa uzoefu. Ule ni utovu wa tabia
 
Sio vzr kubishana na mtu wakati muinuko upo na siku akipanda mutamuona. Ukiwa bondeni hauonekani subiri akipanda mlimani ndo ataonekana vzr.
 
Hili la Makonda limeisha mkuu, sasa tungependa tusikie anguko la aliekuwa bosi wa Makonda.
 
Hilo andiko lako lingeleta maana kama ingekuwa labda alitumbuliwa, lakini alijiengua mwenyewe akajaribu bahati sehemu nyingine, mambo yakawa tofauti, basi anaendelea na maisha mengine. Cha ajabu bado unalala unamuota
Labda Halina maana kwako, nampongeza sana mleta mada kwa kutunza kumbukumbu, akina Hapi na Chalamila nao kuna kitu cha kujifunza hapa
 
Ila waTanzania tuache majungu + umbeya + roho mbaya,uzi unakimbiza balaa...

yangekuwa ni masuala ya jinsi gani tujikwamue kiuchumi ili tuepuke hili janga la kiumaskini,pasingekuwepo na mchangiaji humu!
Vyote ulivyovitaja ndio maendeleo yenyewe
 
Kwni jamaa bado anawasumbua watu mpaka mnamfungulia uzi?
 
We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light." - Plato.
Kiranga
I like your signature.
However, on the bold text; suppose they get afraid because they don't really see it as light?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maajabu huyo much nae kawa mwanasiasa. Lol
Maisha bila unafiki hayaendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…