Anguko la Makonda

Mbona mods maondoa threads za makonda? Why?

Kwa nini mnawahujumu wana JF?

Kuna thread zilikuwa zinaenda vizuri zikiwa na wachangiaji wa kutosha na viewers hazionekani! This is not fair.
Threads nyingine za uzushi wa Kigogo kwamba Makonda kakamatwa, wakati hajakamatwa.

Threads kama hizo kuzifuta ni sawa tu.

Kwa sababu ni za uongo, na Wabongo wengi huwa hawahoji kama ni za kweli au uongo, wanachangia uongo kama kweli vile.
 
Threads nyingine za uzushi wa Kigogo kwamba Makonda kakamatwa, wakati hajakamatwa.

Threads kama hizo kuzifuta ni sawa tu.

Kwa sababu ni za uongo, na Wabongo wengi huwa hawahoji kama ni za kweli au uongo, wanachangia uongo kama kweli vile.
Lkn haizui kutokuja kamatwa
 
Mwacheni apumue wakati huu, maana sasa hivi ni tia maji tia maji kuunganishwa kwenye ile saga ya Prince wa Hai.
 
Lkn haizui kutokuja kamatwa
Hizo habari za kuja kukamatwa ni tofauti, vyombo vya sheria vishasema vikimtaka vitamuita.

Mimi si mtetezi wa Makonda, ni mtetezi wa ukweli.

Kama ukweli ni kwamba Makonda hajakamatwa, halafu mtu analeta uzi wa uzushi wa Kigogo kwamba Makonda kakamatwa, na Wabongo wanachangia uzi wa uongo bila kuhakiki habari, uzi huo ukifutwa ni sawa tu.Kwa sababu ni uzi wa uongo, unapotosha ukweli.

Bado watu wana uwezo na uhuru wa kuanzisha uzi mwingine unaosema Makonda anastahili kukamatwa, ila hajakamatwa, uzi ambao hautakuwa wa uongo.Uzi huu ukifutwa nitatetea usifutwe.Kwa sababu hiyo ni fair discussion na uzi haujaanzishwa kwa habari ya uongo kama "Makonda kakamatwa".
 
Nilichojifunza mimi ni kwamba hapa duniani kila kitu kina muda/msimu wake. Raha ya milele ni huko mbele.
 
Huyo kwanza hata msjina anayotumia si yake kwa hivyo basi anaweza kuishi maisha ya aina yoyote
 
Na kweli, Nani alitegemea Bashiru kuwa KMK kwa siku thelathini na baadae akawa Mbunge wa kuteuliwa? Hata Mr Slow pia na Mbunge!
 
Bila kusahau kwamba bashite ni shoga aliyejificha kwenye kivuli cha ant gay muulize sheikh alhadi
 
Kwa sasa Bashite amehamia Arusha anaishi Njiro kwa Msola anasoma master IAA.
 

Number 6 umechemsha vibaya mno,alikataliwa kuingia USA kwasababu ya kupokonya watu haki ya kuishi.Usifikiri tumesahau bado tunakumbuka sana kamwe hatuwezi kusahau kadhia hiyo kuwahi kutokea tangu Tanganyika kujipatia uhuru wake toka kwa 🇬🇧
 

Askofu Gwajima ndio nani ?.Sisi huku ufufuo na uzima tunamfahamu Askofu mmoja anaitwa Askofu Rashid huyo wako sijui umemwokota wapi.
 
Kule
Ni majungu tu hayo, Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwa

Aliachia kiti akagombee ubunge ambako kura hazikutosha

Makonda atarudi tu
Kama alikuwa wanamtaka angepewa tu kumbuka Magufuli alikuwa ndio mwamuzi wa mwisho Ila alimkata. Technically alifukuzwa maana walioambiwa wagoombee walipewa u unge akina Gambo na Katambi pamoja na Mnyeti.
 
Ni majungu tu hayo, Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwa

Aliachia kiti akagombee ubunge ambako kura hazikutosha

Makonda atarudi tu
Atarudi lkn lazima anyooshwe anyooke,aadabike kama hatokuja ku gain vitu hivyo atafute kazi ya kufanya hakuna atakayemuonea huruma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…