Anguko la Makonda

Anguko la Makonda

Kitendo cha kumpiga mzee sawa na baba yake ilikua ni kupata cheo cha muda na kuanguka tena japo naamini huyo dogo bado anavuta pesa sababu hasikiki kwenye mitandao ila kuna kazi anazifanya kwa sasa na kwa awamu hii na ukijumlisha kabila na aliyoyafanya nyuma bado ni mwana mpendwa wa mfalme
Laana za Waryoba hizo. Alimpiga mzee wa watu!
 
So Makonda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JPM au KIKWETE. Hivi nyie watu mnataka kutuambia hamna yajifichayo. Niwaambie Siri moja. Ukiona mtu anamuda wa kumuattack mtu ambaye hana hata uhusiano naye , hasa behind ya keypad, jua tu huyo mtu Ana matatizo Makubwa sana kuliko anayemwandika. Nafsi yake inatafuta faraja katika kuwaandika wengine hata asiowajua.
Tatizo lako ni dogo sana; ngoja nikufahamishe.

Umesoma na kujibu kwa papara, au pengine lugha imekupita pembeni. Maandishi hayo hayasemi Makonda aliteuliwa kuwa DC na JPM. Soma tena kwa utulivu utaona hivyo.

Hapa hakuna anaye"'attack mtu" kwa sababu ya kuwepo au kutokuwepo uhusiano na mtu huyo.

Huyo unayesema ana"attackiwa" alikuwa na nafasi ya uongozi kwenye serikali. Matendo yake yalijulikana. Utasemaje mtu huyo "ambaye hana uhusiano naye"? Kuwa kwenye nafasi ya uongozi hakumfanyi mtu huyo kuwa na uhusiano na watu anaowaongoza?

Kiufupi ni kwamba, umesoma na kujibu yaliyoandikwa kwa pupa.
 
Huyo hana lolote ndio kutegemea mbeleko kulivyo ina maana hakuna anachoweza kufanya bila kubebwa kwa nini asijiajiri.

Watanzania tu wajinga sana tunashangilia eti mtu ana mpunga wakati tunafahamu fika kwamba hana biashara yoyote, ina maana ni mwizi tu huyo hana lolote.

Akiwa madarakani waliunda genge la wauaji "Death Squad" ili kuwateka na kuwauwa wale walioonekana kutokubaliana nao. Huyu ni mtu bure kabisa subirini huyu mtu wake atoke ikulu ndio ataswekwa gerezani kabisa.
 
Mkuu umesema wewe una PHD na exposure na hela ya mboga. Umewezaje pata muda wa kumuandika mtu ambaye Ana maisha yake. Au mfanyakazi Wako wa ndani asiyena „. Exposure“ kaiba simu yako. Mana mwenye hela plus PHD huo muda wa kuandika kitu kisichoakisi ongezeko la Hizo noti usingeupata. Muonye mfanyakazi wako
Kuna wenye PhD wanashinda kwenye mchezo wa bao, wengine kwenye draft , wengine wanaangalia mpira, namimi nashinda jamii forums Kama hobby yangu,

Pili nikusahihishe kijana PhD si jambo la maajabu sana, nasisi wenye nazo ni binadamu, ratiba zetu ziko kama wengine cc Pascal Mayalla
 
Nimekutana naye mara kadhaa kule masaki mwisho jirani na police post.

Kwenye uwanja ule wa mpira yupo naye anapiga tizi...umeona peach ile walivyoitengeneza.

In short mwana fungu lipo mambo yake yanakwenda kama kawaida tu.

Ova
Kuna watu wanafikiri baada ya kutolewa atakuwa na njaa kama wao!
 
Ndo huyu au?

1614757512949.png
 
Huyo hana lolote ndio kutegemea mbeleko kulivyo ina maana hakuna anachoweza kufanya bila kubebwa kwa nini asijiajiri.

Watanzania tu wajinga sana tunashangilia eti mtu ana mpunga wakati tunafahamu fika kwamba hana biashara yoyote, ina maana ni mwizi tu huyo hana lolote.

Akiwa madarakani waliunda genge la wauaji "Death Squad" ili kuwateka na kuwauwa wale walioonekana kutokubaliana nao. Huyu ni mtu bure kabisa subirini huyu mtu wake atoke ikulu ndio ataswekwa gerezani kabisa.
Ukiitwa kuthibitisha hizo tuhuma utaweza ?
 
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.

Tukumbuke Makonda ni nani

Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa

1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.

2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.

3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).

4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.

5. Makonda kwa mujibu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.

6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.

7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.

8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.

9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.

ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.

PM, VP, Mpango, Sirro mpaka Bashiru.

Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa mujibu wa Bashiru.

Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.
nikipata huyu atanisaidia kazi yangu km Rais.mumtunze vyema anakarama ya uongozi hana tamaa.
Viva makonda viva ntakuchomeka ki aina km rais baada yangu uwapeleke hawa mbuzi wa bongo . Make vichwa maji sana hawa usiwalipe kisasi tu
 
Ila waTanzania tuache majungu + umbeya + roho mbaya,uzi unakimbiza balaa...

yangekuwa ni masuala ya jinsi gani tujikwamue kiuchumi ili tuepuke hili janga la kiumaskini,pasingekuwepo na mchangiaji humu!
Chakuchekesha na kushangaza zaidi na wewe pia umo humu unasoma comments na kuchangia pia!!
 
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.

Tukumbuke Makonda ni nani

Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa

1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.

2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.

3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).

4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.

5. Makonda kwa mujibu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.

6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.

7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.

8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.

9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.

ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.

PM, VP, Mpango, Sirro mpaka Bashiru.

Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa mujibu wa Bashiru.

Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.
Natamani kujua kisababishi cha uzi huu
 
Ambition(Matamanio) za wanasiasa wengi..
1.Money(Wealthy)..Ukwasi
2.Power...Mamlaka
3.Prestige...Ufahari

Akikosa kimojawapo..Amani ya moyo inaweza isiwepo..

"Be Humble"
 
Back
Top Bottom