SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yataje.Hamna aliye mtakatifu, hata wewe una makandokando yako kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yataje.Hamna aliye mtakatifu, hata wewe una makandokando yako kibao
Basi wewe ni malaika, huna dhambiYataje.
Mchukueni aje kwenu kwani kafa?Nakubaliana na wewe pasi na shaka mkuu MO yupo kiwiziwizi na hicho kicheche chake, mpira wetu utakosa kbs hamasa ligi kuu yote, Manara alikuwa nguzo kubwa Ligi kuu ndio maana hata wana Yanga walikuwa followers wake, ni mtu muhimu
Swadaktaaa!!!!Basi wewe ni malaika, huna dhambi
Iko kitu Yanga tuna exprience nacho na ndio maana tunaenda kwenye mabadiliko ambayo hata aondoke nani atutembezi bakuli,na GSM anataka hivyo yan hata siku akiondoka basi kampuni ya Yanga iweze kuhudumia timu,Yanga tutakua na wawekezaji watatu au zaidi,mo iko hataki na ndivyo tabia ya kidosi,anataka siku akiondoka mkambembelezeHebu waulize atoke mo na abaki manara,atawalipa wachezaji?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
ThubutuuuKila msimu na staili yake .Umuhimu wa Manara kwa Simba umeshapita,wakati hauruhusu.Ila Simba itaendelea kuwepo na kuchukua makombe.
Lakini nina uhakika Haji Manara kakuzidi pesa na UmaarufuSimba ni taasisi kubwa haiwezi kuanguka kwa umbea wa Haji,yeye Haji ndo ataanguka kwasababu hana elimu,hana pesa,hana hekma,hana busara,analia yeye masikini wazazi wake wanamtegemea.wanaomtumia sasa muda ukifika pia atawavuruga kwasababu ya uswahili alionao.
Haji ni tapeliSimba ni taasisi kubwa haiwezi kuanguka kwa umbea wa Haji,yeye Haji ndo ataanguka kwasababu hana elimu,hana pesa,hana hekma,hana busara,analia yeye masikini wazazi wake wanamtegemea.wanaomtumia sasa muda ukifika pia atawavuruga kwasababu ya uswahili alionao.
Kwani ligi kuu team ni simba tu ? Mchukuen hata nyie utopolo au andende hata huko AZAM au biashara mbona zote team akaoneshe izo amsha amsha huko aone kama nikazi ndogo watu wanatia pesa wanaleta wachezaj wamaana then ana ropoka ropoka tuNakubaliana na wewe pasi na shaka mkuu MO yupo kiwiziwizi na hicho kicheche chake, mpira wetu utakosa kbs hamasa ligi kuu yote, Manara alikuwa nguzo kubwa Ligi kuu ndio maana hata wana Yanga walikuwa followers wake, ni mtu muhimu
Hoja ujibiwa kwa hoja na sio vioja ndugu, haji manara katoa hoja zenye mashiko na zinazoeleweka kwaiyo mjibu hoja alizotoa vijembe aviwasaidii chochote zaidi ya kuendelea kuonyesha kwamba ni weupe vichwani ndo maana mo anaendelea kuwapiga kimtindoUtopolo mnahangaika sana, uwekezaji wa Mo Simba umekuwa mwiba mchungu kwenu,naona leo mumemuandalia yule domokaya press na kumpa mabodigadi wanne wamlinde. Mnafeli wapi Utopolo? Mtasubiri sana
Leo mayanga njaa mwenzenu kawa wa maana coz tumemtimua baada ya kumshtukia?..ilifika hatua mlimkashifu hadi juunya ulemavu wake wa ngozi leo kawa mzuri?..timu ianguke coz ya MSEMAJI?..narrow mind I can't argue.Haihitaji elimi ya chuo kikuu kujua hilo, ila mbumbumbu wakija hapa watakutoa macho