Anguko la Simba lipo jirani

Anguko la Simba lipo jirani

Nyie wapenda kelele mchukueni Manara awe msemaji wenu atawafaa sana na hili dua lenu la kuku.
 
Nakubaliana na wewe pasi na shaka mkuu MO yupo kiwiziwizi na hicho kicheche chake, mpira wetu utakosa kbs hamasa ligi kuu yote, Manara alikuwa nguzo kubwa Ligi kuu ndio maana hata wana Yanga walikuwa followers wake, ni mtu muhimu
 
Hebu waulize atoke mo na abaki manara,atawalipa wachezaji?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Iko kitu Yanga tuna exprience nacho na ndio maana tunaenda kwenye mabadiliko ambayo hata aondoke nani atutembezi bakuli,na GSM anataka hivyo yan hata siku akiondoka basi kampuni ya Yanga iweze kuhudumia timu,Yanga tutakua na wawekezaji watatu au zaidi,mo iko hataki na ndivyo tabia ya kidosi,anataka siku akiondoka mkambembeleze
 
Simba ni taasisi kubwa haiwezi kuanguka kwa umbea wa Haji,yeye Haji ndo ataanguka kwasababu hana elimu,hana pesa,hana hekma,hana busara,analia yeye masikini wazazi wake wanamtegemea.wanaomtumia sasa muda ukifika pia atawavuruga kwasababu ya uswahili alionao.
 
Lakini nina uhakika Haji Manara kakuzidi pesa na Umaarufu
 
Wewe ndio upo ndotoni,hayo mawazo ondoa kabisa yaani timu imeshafanikiwa kuingia kwenye mabadiriko itaanze kufeli,usichojua tumeondoa kirusi pale simba na sasa simba inayoendeshwa kiprofessional ndio inaenda kuonekana chini ya tajiri no 13 afrika.
 
Utopolo jengeni kikosi kwa maneno ya haji hayawezi iangusha Simba ataongea mpaka akose cha kuongea juu ya simba
 
Simba ni taasisi kubwa haiwezi kuanguka kwa umbea wa Haji,yeye Haji ndo ataanguka kwasababu hana elimu,hana pesa,hana hekma,hana busara,analia yeye masikini wazazi wake wanamtegemea.wanaomtumia sasa muda ukifika pia atawavuruga kwasababu ya uswahili alionao.
Haji ni tapeli
JamiiForums289186523.jpg
 
Nakubaliana na wewe pasi na shaka mkuu MO yupo kiwiziwizi na hicho kicheche chake, mpira wetu utakosa kbs hamasa ligi kuu yote, Manara alikuwa nguzo kubwa Ligi kuu ndio maana hata wana Yanga walikuwa followers wake, ni mtu muhimu
Kwani ligi kuu team ni simba tu ? Mchukuen hata nyie utopolo au andende hata huko AZAM au biashara mbona zote team akaoneshe izo amsha amsha huko aone kama nikazi ndogo watu wanatia pesa wanaleta wachezaj wamaana then ana ropoka ropoka tu
 
Utopolo mnahangaika sana, uwekezaji wa Mo Simba umekuwa mwiba mchungu kwenu,naona leo mumemuandalia yule domokaya press na kumpa mabodigadi wanne wamlinde. Mnafeli wapi Utopolo? Mtasubiri sana
Hoja ujibiwa kwa hoja na sio vioja ndugu, haji manara katoa hoja zenye mashiko na zinazoeleweka kwaiyo mjibu hoja alizotoa vijembe aviwasaidii chochote zaidi ya kuendelea kuonyesha kwamba ni weupe vichwani ndo maana mo anaendelea kuwapiga kimtindo
 
Haihitaji elimi ya chuo kikuu kujua hilo, ila mbumbumbu wakija hapa watakutoa macho
Leo mayanga njaa mwenzenu kawa wa maana coz tumemtimua baada ya kumshtukia?..ilifika hatua mlimkashifu hadi juunya ulemavu wake wa ngozi leo kawa mzuri?..timu ianguke coz ya MSEMAJI?..narrow mind I can't argue.
 
Back
Top Bottom