Anguko la vijana wa kileo

Anguko la vijana wa kileo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
VIJANA WA KIUME:
20250123_145926~2.jpg

VIJANA WA KIKE:
20250123_112923.jpg
 
usipokua makini dunia ya leo kua na mtoto wa kike ni 70% hasara.

kuna mtu unakuta ana watoto 6 girls full set

very disappointment
Mi naona wa kike kumchunga akamaliza chuo ameshatoboa. Wanawake wana glass escalator kwenye taaluma mbali mbali. Hata wanawake walio kwenye nyanda za juu za kitaaluma ni wachache ambao wapo kwa juhudi zao kwa asilimia mia moja. Wengi wao wamebeba sana. Msichana afundishe jinsi ya kujitunza na kuiheshimu. Aanze kuishi anavyotaka akimaliza chuo na kupata kazi.
Cc: Jokate mifano ipo mingi
 
Hakika mkuu
 
View attachment 3211143

Mkuu poor brain, We endelea kulamba nyau ya single mama wako hahahahahahahah shauri yako, wakina min -me usikute wanapita alafu wanajifanya eti wana meditate 😁
Daaah unajua min -me wanasema ndio mtu anayejiheshimu hapa jf ..

Kuna siku mpaka mello akamchek kwa comment kwa kumpa sifa kedekede sasa nastuka unaposema sijui ana mambo ya hovyo
 
usipokua makini dunia ya leo kua na mtoto wa kike ni 70% hasara.

kuna mtu unakuta ana watoto 6 girls full set

very disappointment
Mkuu dunia ya Leo iko wazi sana

Kipindi Cha nyuma mtoto wa kike alionekana ndiyo au kwa sasa unaona ni hasara

Jee kuwa na wa kiume sio hasara... Huoni vijana mashoga Tena walio kubuhu, vijana walio athirika na madawa ya kulevya, pombe, starehe za kila aina.....

Tuwatizame vijana wa hapa 1980+ kuja huku 2000 mpk sasa mbona wengi wameharibika ?

Ninachoweza kusema tuwalinde watoto wote kwa maadili yetu ya kiafrika!! Kuwapa elimu dunia, kuwaeleza ukweli wa mambo yalivyo!!
 
Back
Top Bottom